Wakuu naomba anayeweza kujua gharama za kuchimba kisima kwa sasa anipatie info kamili...maeneo nayoka kuchimba kisima ni masaki-kisarawe mkoa wa pwani
Natanguliza shukrani
Wakuu habari zenu? Natumaini wote mu wazima wa afya....MImi nilikuwa naomba ushuri wenu, nina eneo kisarawe lenye ukubwa wa takribani eka kumi sasa kwa ukanda ule wa mkoa wa pwani mnaweza kunishauri nilime mazao gani ambayo yaweza kukubali na kunipa faida?Vilevile naweza fuga mifugo gani maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.