Recent content by arusha 1

  1. A

    FULL TEXT: Hotuba ya Upinzani Bungeni, Lema abainisha viashiria vya vurugu

    Shoga hawezi kuona cha maana kwa mwanamke .
  2. A

    FULL TEXT: Hotuba ya Upinzani Bungeni, Lema abainisha viashiria vya vurugu

    Hakuna Taifa kubwa lisilokuwa na vita . Mnawachukia sana ..wachaga .dhambi ya ubaguzi itawaua ..
  3. A

    Godbless Lema, uchaguzi bado miezi 8 tuambie umeifanyia nini Arusha?

    Unachokiona kinafanyika kwenye Kata hizo pia ni kazi za Mbunge na CDM , mapato Halmashauri kuongezeka hizo pia ni kazi za Mbunge , kuiondoa Ccm Arusha Mjini , hizo pia ni kazi za Mbunge ,kujenga chama imara arusha mjini hizo pia ni kazi za Mbunge ,ni mtu mjinga na mpumbavu anayeweza kubeza kazi...
  4. A

    Diwani Ephata Nanyaro wa Levolosi Arusha - Utekelezaji wa Maendeleo

    Laki si pesa .wewe ni Nanyaro na jina lako j ingine mtandaoni ni Naima erenest . Acheni siasa za kumtukana Mbunge mitandaoni . Mko kama watano hivi mnaofanya kazi hii nani anawatuma. Arusha isingekuwa ilivyo kama ingekuwa sio juhudi za kamanda lema
  5. A

    Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    Unamjua Lema vizuri ? nafikiri humjui anaweza kukulisha wewe na mke wako
  6. A

    Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    Kwa kweli naunga mkono hoja
  7. A

    Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Lema ni msomi Kamanda ila watu hawamjui nafikiri hakuna mtu makini cdm kama Lema
  8. A

    Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Lema Mungu Akubariki saaaaaaana wewe ni rato
  9. A

    Dr Slaa: Nimelishwa maneno na magazeti

    Mwambie Zitto atangulie mahakamani Yeriko kamaliza
  10. A

    Dr Slaa: Nimelishwa maneno na magazeti

    Hapana ni kweli mawio kuna kijana wa Zitto pale auoni jinsi makala zs msaliti mwigamba zinavyochapishwa
  11. A

    Dr Slaa: Nimelishwa maneno na magazeti

    Ni mchafu sana huyu dogo anaitaji mgadi
Back
Top Bottom