Recent content by arthurluy

  1. arthurluy

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Nimetumia link ya ajira.tpf.go.tz
  2. arthurluy

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Habari wadu, Nilikuwa naomba kuuliza kuhusu ajira hizi za polisi nimefanikiwa kuomba lakini nikiingia kwenye view attachment nakuta vyeti vya mtu mwingine kabisa tofauti ya vyeti ambavyo nimeattach mimi alafu nikilog out nikaingia tena nakuta tena vimechange tofauti na nilivyoviona mwanzo
  3. arthurluy

    JamiiForums Tanzania UTAPELI wa Kazi za African Child Aid (CHUKUA TAHADHARI) | Beware of Scam

    Dear Arthur We are pleased to offer you a job as per heading above at Sonnabend Pediatric AIDS Foundation (SPAF). We believe that your experience and skills will be a valuable asset to our NGO. If you are to accept this offer you will be eligible to the following in accordance to our NGO's...
  4. arthurluy

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kufanya kazi kwa kujitolea. Nimehitimu kozi ya Human Resource Managemt Mzumbe

    Waungwana me ni muhitimu wa chuo kikuu cha mzumbe natafuta sehemu ya kufanya kazi kwa kujitolea nimesoma HUMAN RESOURCE MANAGEMENT DEGREE. JINSIA -ME. MIAKA -24.
  5. arthurluy

    JamiiForums Tanzania Vitu chumba kizima vinauzwa kitanda, godoro, meza ya kusomea, vyombo, gesi, kikabati

    Itakuwa ngumu kugharamia hadi usafiri mimi
  6. arthurluy

    JamiiForums Tanzania Vitu chumba kizima vinauzwa kitanda, godoro, meza ya kusomea, vyombo, gesi, kikabati

    Nataka kurudisha chumba
  7. arthurluy

    JamiiForums Tanzania Vitu chumba kizima vinauzwa kitanda, godoro, meza ya kusomea, vyombo, gesi, kikabati

    Hamna tatizo mda wa kuwa mazingira ya chuo umeisha then tunaenda field hadi mwezi wa saba nataka kurudiana chumba
  8. arthurluy

    JamiiForums Tanzania Vitu chumba kizima vinauzwa kitanda, godoro, meza ya kusomea, vyombo, gesi, kikabati

    Kwa mtu yoyote anaehitaji kununua vitu 1. Kitanda 5/6 2.godoro 5/6 3.vyombo vya ndani 4.gesi 5.shelf ya kuwekea nguo Nipo iringa semtema. Bei ni 300,000 vyote
  9. arthurluy

    JamiiForums Tanzania Kazi za Human Resource offers kwa private zinamshahara unaoridhisha?

    [emoji23][emoji23] Kwa kweli
  10. arthurluy

    JamiiForums Tanzania Kazi za Human Resource offers kwa private zinamshahara unaoridhisha?

    I mean kiwango cha juu kwa elimu ya degree
Back
Top Bottom