Recent content by artch2311

  1. A

    Hivi CHATO kulikuwa na ikulu au mawaziri mliapishwaga lodge?

    i am deadly pissed off kuna wakati ni afadhali uwe na akaunti facebook kuliko JF. ina maana kweli watu nhawajui kwamba kila wilaya , huhusan za zamani zina ikulu ndogo, kwamba kila mkoa una Ikulu ndogo??
  2. A

    Mchango wa Hijja kwenye Uchumi wa Saudia

    Hi argument no ya kifala Sana. Ibada na Utalii ni vitu viwili tofauti Sana. Unawezaji kulinganisha mtu aliyekesha nightclub na aliyekesha kanisani au msikitini!?
  3. A

    Ukame, Nchi jirani zote Maji, Umeme vyote vipo, Why Tanzania tu?

    Tembo 40+, nyumbu 50 vifaru na nyati kadhaa wamekufa kwa ukame kule kenya
  4. A

    Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii

    Bangi utaacha lini
  5. A

    Iko wapi Royal Tour mliopiga chapuo kuwa italeta manufaa kwa Watanzania? Mbona tozo na ughali wa maisha unazidi kuwabana Watanzania

    Uwe na akili basi yaani investment ya tshs 7billiobs tu ilete unafuu wa maisha kwa nchi. Kwani wewe unajua utalii unachangia a percentage ngap ktk uchumi!? Daah pole sana. Royal tour ililenga ku boost utalii tu na imefanya hivo..... na wapo waliofaidika kwa nafasi zao ktk sekta hiyo
  6. A

    Charles Kitwanga: Sikutaka kujikomba, nililogwa nikapona kimiujiza, nilikuwa na vita na Serikali

    Kwa hiyo ukiwa msomi ndio ukatae uhalisia? Uchawi umetambuliwa na dini zote sembuse wewe uliekaririshwa definitions
  7. A

    Kama Tundu Lissu hakufa kwa risasi zote zile basi jambo zito sana Mungu atafanya katika siasa za Taifa hili

    Dereva mmemficha wapi!?? Dereva aliyejua kuwa Lissu anafuatiliwa kwa miezi 3. Dereva aliye gungua kuwa anafuatiliwa siku ya tukio!? Dereva risasi zikipigwa
  8. A

    Who is Steve Nyerere? Anatuwakilisha sisi wajinga wa nchi hii

    Kwani wewe unaebwabwaja hapa unamuwakilisha Nani yaani Nani kakutuma. Haya wewe na huyo stive mnatofauti gani. Usijipe umuhimu usiokuwa nao Kama Stive
  9. A

    Miezi tisa Radio 5 Arusha inayomilikiwa na Lowassa haijalipa mishahara wafanyakazi wake

    Mtu anakiri kazi yake haina ubora halafu anadai kulipwa
  10. A

    Teuzi zile zile, wateuliwa wale wale, kama haujawahi kuwemo hautakuwemo milele

    Huu upumbavu wa kudai katiba nsuo suluhisho utawaisha lin? Niosheonyeshe nchi ambayo katiba ilivunja mipaka ya tamaduni.. Kule USA na RSA pamoja na kupata katiba biara wameondoa ubaguzi au ukabila kule Kenya?
  11. A

    Sensa: Kianalogia siku 1, kidigitali siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Kesho mwisho! Je, ambao bado hawajafikiwa watahesabiwa?!

    Mamia kwa mamia kimahesabu ndio 100×100!??.(3digits×3digits maximum ni 999×999=998001) Je Kuna mtaa bongo una nyumba 10000-998001? Too much exaggerations
  12. A

    RC Fatma: Mtu atakayepora kishikwambi cha karani wa sensa, tutamchukulia hatua kali sana

    Imei number inabadilishika Mzee... Tena inaweza kuonyeaha ni simu ya kibatan tecno t301
  13. A

    Shaka amwagiza waziri wa Kilimo kumfukuza kazi mara moja Geophrey Chiliga mrajisi wa Ushirika Mkoa wa Tabora

    Pole yako. Hivi hujui Kama chama ndio kinaunda Serikali? Kwamba watumishi wote wanatekeleza ilani ya Chama kilichochaguliwa na wananchi?
  14. A

    Prof. Mukandala hafai kuongoza tume ya katiba mpya

    Acha kukariri. Sasa hayo ya ndoa yake na wanae kwenye katiba ya Sasa hamna? Au kwa uelewa wenu kikosi kazi kinapaswa kukusanya maoni yale tu yanayotaka katiba mpya? Au hujui kama zaidi ya 97% ya katiba mpya yamo kwenye katiba ya zamani pia?
  15. A

    CHADEMA eleweni, Tume huru ya uchaguzi sio kigezo cha kupata kiongozi

    Hujui ulisemalo. Unazungumzia uhuru gani wa Tume? Hujui kama mpaka leo kuna watendaji wa Tume wako Poliei baada ya kukamatwa na Kura 20000 zilizpjpigiwa Odinga? Hujui kama matokeo yale ni maamuzi binafsi ya mwenyekiti kwa sababu wajumbe 4 kati ya 7 wameyakataa matokeo? Hujui kama mjumhe mmoja wa...
Back
Top Bottom