Recent content by arsenkazzy

  1. A

    Mliochaguliwa migration hii inawahusu

    Itakua balaaaaaa huo ndo mtonyoo anzeni zoez la..Usain bolt mapemaaa ........
  2. A

    Mliochaguliwa migration hii inawahusu

    Mlioitwa kwny interview immigration jiandae kukimbia uwanja wa taifa washindi watachukuliwa vipimo abt afya then mchezo utakuwa umeisha forget abt academic matters💪
  3. A

    Kinacholigharimu taifa langu la Tanzania ni unafiki wa watanzania tulio wengi,tusimame kwenye ukweli

    Viongozi wetu wa TANZANIA: Wanaweka pesa USWISS, Wanatibiwa INDIA, Wanajenga LONDON, Wanawekeza U.S.A au S. AFRICA Shopping DUBAI, Likizo na matanuzi PARIS na kuungama wanaenda ISRAEL au SAUD ARABIA lakini wakifa wanazikwa TANZANIA, hivi Tanzania ni MAKABURINI au?. isijekuwa tunaishi Makaburini...
Back
Top Bottom