Recent content by Arrold

  1. A

    Pinda: CHADEMA wanatekeleza kauli yao ya nchi haita tawalika

    HEKIMA NA BUSARA TU NDIYO KUPONA KWETU. Hakuna cha Chadema wala ccm ila ni HEKIMA & BUSARA. Nasikitishwa sana na watu hasa viongozi wetu kuongozwa na kutoa kauli za hisia za UCHAMA kuliko UBINADAMU,UTU,UZALENDO NA UTANZANIA. MUNGU ibariki TANZANIA. Amen.
  2. A

    Mbowe - Ushahidi wa Video kwa Tume huru ya kimahakama si polisi watuhumiwa

    Mnavyochangia mada watoto wa vgogo au vigogo wenyewe utajua tu,kwan hamtaki ukweli na hamna uchungu na hii nchi kabsa kwan gharama za maisha haziwagusi nyie kabisa,kila kitu kwenu ni bwerere yaan laini,nimesoma na nyie nawajua.Acheni kila mtanzania afaidi nchi yake.msile wenyewe,ndiyo unaona...
  3. A

    Anne Makinda: Sijapata taarifa kutoka kambi ya upinzani kuwa hawatahudhuria bungeni

    Ndg yng acha wanaochafua AMANI ya mji wa ARUSHA ni CCM kwa kuwatumia POLICE jana ARUSHA kila mtu alikua anakimbiakia hakuna kutembea.kila kona walipiga mabomu hata wasiohusika waliathirka.tulikua ofcn kutoka ilikua ni shida. Katiba mpya itenganishe nguvu ya wanasiasa na dola,haifai hata kidogo...
  4. A

    Chama cha Kilaghai Tanzania...

    Unajaribu kulaghai watanzania KINAPE zaidi,kwani NAPE ndiyo huwa na maneno mengi akitia nukta pumba tupu mwanzo mwisho. Kama jana kaibuka huko eti ni Chadema wenyewe ndiyo wamerusha lile BOMU kwa tafsiri rahisi ni kwamba hata lile la kule KANISANI OLASITE ni MAASIKOFU au MAPADRI basi.Kwa kauli...
  5. A

    Anne Makinda: Sijapata taarifa kutoka kambi ya upinzani kuwa hawatahudhuria bungeni

    Kama mpaka mh.rais jakaya ambaye yupo nje ya nchi na balozi wa marekani wapata taarifa za bomu na kuonyesha kuguswa kwao kwa kutuma salamu zao za pole kwa tukio hilo.itakuaje spika wa majaribio awe hana taarifa??????.
  6. A

    Anne Makinda: Sijapata taarifa kutoka kambi ya upinzani kuwa hawatahudhuria bungeni

    Hilo bunge lipo kwa ajili ya nani???na hawa waliokufa ni nani???.au nyie mmeona ni mjusi na sio wananchi.
  7. A

    Mbowe: Mabomu yamerushwa na Polisi kwa maagizo ya Serikali

    Kufilisika kisiasa una maana gani labla,watu wamekufa we unaleta mzaha. Haitotuingia akilini hata kidogo eti ni waakina mbowe wenyewe wanahusika na huo mlipuko.basi na ule wa kanisan ni maaskofu wenyewe ndiyo walilipua ila kupata umaarufu.mbona mmeona watanzania na walimwengu wengine ni wajinga...
  8. A

    Tukio la Bomu Arusha: The game was planned - kauli ya baadhi ya polisi

    Unategemea wananchi wa Arusha na Tanzania kwa ujumla watafikiria nini kama punde baada ya mlipuko,walipomkimbiza mlipuaji alikimbilia walikua police na ndipo watu wakatawanywa kwa mabomu ya machozi na risasi za moto. It's true that "THE GAME WAS PLANNED" MUNGU ni wa ajabu sasa wanasema ukweli...
Back
Top Bottom