Recent content by Arnold Ndosi

  1. A

    Wataalamu wa hesabu, ninaombeni ufafanuzi wa hivi vipimo vya shamba

    Wadau wa jamvi hili, habari zenu? Ninaomba msaada wa ufafanuzi wa hili tatizo langu la kimahesabu--mwenzenu sipo vizuri sana kwenye hesabu ila nina imani kuwa hapa kuna wadau wanaoweza kunipa ufafanuzi: Kuna rafiki yangu anataka kununua shamba heka nne na kaniomba nimsaidie kusimamia...
  2. A

    Mwanamke alimnyima lift Ufoo Saro! Unaichukuliaje hali hii?

    una akili nyingi sana kaka. Hivyo ndivyo msomi anatakiwa achambue mambo na siyo kuongea ongea tu mambo ya ajabu kama baadhi ya wadau kwenye jukwaa hili na majukwaa mengine kadhaa. Hata kama ni mimi nisinge msaidia licha nina roho mzuri-tano bora afrika
  3. A

    Ninaomba msaada wa link - ninahitaji soft copies za vitabu vya fasihi ya afrika

    Kaka na dada zangu wa jukwaa hili, nianze kwa kuwasalimu: za wakati huu? :A S-key: Ninaomba msaada wa link ambayo ninaweza nikavishusha/download vitabu vya fasihi ya Afrika. Nimetafuta sana soft copies za vitabu hivyo nimekosa kabisa. Pia nimejaribu kuvitafuta kwenye mtandao likini bado...
  4. A

    Walekwa wenye maarifa ya uchumi na siasa,japo kidogo tusaidiane hili!!!!! Welcome.........

    NINASHANGAA NCHI YETU INA2MIA NOTI ZA AINA MBILI KWA ZAIDI YA MIAKA MIWILI NA HAKUNA UFAFANUZI WALA SABABU ZILIZOTOLEWA. ETI, HAYA SI MAUJANJA YA WANASIASA KWELI???? NAONA KAMA NI KUBADILISHWA KWA FEDHA, HII IMECHUKUA TASWIRA YA KIPEKEE!!!!!!! KWA NINI SISI NDO TUNABADILISHA FEDHA KILA SIKU...
  5. A

    Walekwa wenye maarifa ya uchumi na siasa,japo kidogo tusaidiane hili!!!!! Welcome.........

    Kwa kumbukumbu zangu kama sijakosea, ni zaidi ya miaka miwili sasa imepita huku nchi yetu, Tanzania ikiwaa inatumia noti pesa za aina mbili. yaani kuna noti kubwa na ndogo, mbili tofauti tofauti za shilingi 500, 1000, 2000, 5000, na 10000. kwa uelewa niliokuwa nao mimi, huwa kila nchi ina sarafu...
  6. A

    Vijana wetu wanafanya nini vyio vikuu ???

    Hacha ujinga wewe mchaga. Mtu anaweza kuwa ana akili nyingi zaid ya unavyodhani. Kiingereza so ishara ya usomi. Usomi ni maarifa na akili alizo nqzo mtu juu ya mambo aliyo somea. Mbona wewe unashindwa kuandika "vyuo" una andika "vyio" wakati ni lugha yako????!!!!! Na wewe improve ur kiswahili
  7. A

    Aya wadau, naombeni ufafanuzi juu hili plz!!!!

    kuna jambo moja ambalo linazungumziwa sana na watanzania hasa vyombo vya habari. Swala lenyewe ni MFUMO WA ANALOJIA NA MFUMO WA DIGITALI. Kiukweli sijui lolote juu ya dhana hizo, naombeni ufafanuzi juu ya hili plz huku mieleza tofauti zake.
  8. A

    Fumbo-Namba ya Simu

    hahahahahahahahahahahhahhahhaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mmekamatika vilaza ambao mlifogi veti. kama vipi mpe huyo mdogo wako akalkyulaiti.
  9. A

    Udsm ni kama manchester united!!!!!!!!!!!

    Chuo chetu kikonge, cha ukweli na chenye ubora wa juu Tanzania, Africa ya mashariki na hata Africa kwa ujumla hakiwezi kikatofautishwa na MAN U katika tasnia ya mchezo wa mpira wa miguu. Chuo hiki kimekuwa kikikososelewa na kupondwa sana na wanafunzi na wahitimu wa vyuo vingine hapa nchini. Bila...
  10. A

    Mgogoro wa dini wakimbiza Mkuu wa shule, wanafunzi wa Sekondari ya Bagamoyo moani Pwani...

    ninyi wote maboya. afu mnakera kinoma,hivi mmefanya hili kuwa jukwaa la majungu ya kidini? hili ni jukwaa la watu wenye akili timamu na wahitajio kupewa habari zenye akili. UISLMU, UKRISTO;WISLAMU, UKRISTO!!!!!!!!!!!!!!!1 hakuna mada nyingine ya maana?. wote wakristo na waislam wanazingua...
  11. A

    Sababu gani MBA ya Mzumbe inaitwa maharage ya Mbeya?

    uliza mambo ya msing, kwani ukishajua inakusaidia nini. acha mambo ya kike wewe!!!!!!
  12. A

    Tunampataje mwalimu bora tanzania?

    walimu bora unamjua wewe au unaongea tu? una muda mchafu wa kuchangia mambo ya kise##. nch so yako hii wewe, acha kuwa goigoi kiasi hicho. au kama vip kawe mwalimu bora wewe.
  13. A

    Hili balaaa tu!

    wewe wa wap, mbona mshamba mshamba sana? ukahaba wao una kuhusu nini? hachana na mambo ya kise** na ya kike. kama umeenda soma, soma achana nao. chakushangaa nini kama hayo yalikuwepo toka enz za sodoma na gomora??????????????????????????
  14. A

    dah, kumbe udsm ni noooooooooma!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!

    hapa kuna msuli ni nooooma! asaiment, kozwek na semina ni mchakamchaka.:israel:
  15. A

    jamani mwenye posible mitihani ya form 4 atupie hapa

    Hakuna V2 Rahisi.utaolewa Kijana.piga Shule,achana Na Mambo Ya Kipuuzi.ningekutana Na Wewe Ningekupiga Makofi Thelathini Kidogo. Anyway,mimi Ni M2 Mwenye Huruma Sana Na Huwa Niumia Sana Nikiona M2 Anafeli Pasipo Na 7bu Ya Msingi.ninepata Ki2 Chenyewe Cha Both Private candtd Na Schl...
Back
Top Bottom