Recent content by arnjaam

  1. arnjaam

    INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

    Brother nahitaji mawasiliano ako tufanye biashara mbona siwezi kuja dm kwako lakini ???
  2. arnjaam

    Nahitaji gari ya kuendesha kama Uber au Bolt kwa mkataba

    Can I say *** you for abusing me mother f,,,kwa kuniita mpumbavu, njoo inbox nkutumie nakala ya biashara nazomiliki
  3. arnjaam

    Nahitaji gari ya kuendesha kama Uber au Bolt kwa mkataba

    Wanekaaa kimya asee 😂😂😂
  4. arnjaam

    Nahitaji gari ya kuendesha kama Uber au Bolt kwa mkataba

    daaa asee yan naona watu wako kimya tu asee daaaaaa
  5. arnjaam

    Nahitaji gari ya kuendesha kama Uber au Bolt kwa mkataba

    Mimi n kijana mpambanaji hapa Mjini! Na ata kuna threads nyingine za nyuma mlishanishauri na sasa ni vyema tu mambo yanaenda vizuri namshukuru Mungu! Kwa uwepo wenu na mawazo yenu ila mimi leo nlikua naomba mnisaidie pia make najuaa hii n community kubwa na inawatu wazito pia ndani yake! Mimi...
  6. arnjaam

    Side hussle

    ila ujue kwq nini m nlikua natka kujiwekea side hussle ni kwa sababu tu nimeona weng yan baada ya chuo mtaani n kugumu sio poa kk asee! Yan mtaa hauna huruma so ndo maana nlitaka kufanya hivo yan ili ata nkimaliza niwe tayar nina bzness zang za kuniingizia kipato kk
  7. arnjaam

    Side hussle

    Nimekupata broh !!!….n ushauri mzuri pia asante. Sana ndugu angu!
  8. arnjaam

    Side hussle

    ingekua kwa wiki siningekua ninagari tayar mzee 😂😂
  9. arnjaam

    Side hussle

    Ww jamaa mm nimesema kwa wiki kwwr kk Acha kunsingizia asee! Hayo n makadirio ya mwezi kaka angu! Na pikpiki n 7k sio 10k
  10. arnjaam

    Side hussle

    Et eeee😁 sawa kaka Na ww unapiga hizo mishe nn broh! Nipee maujuzi kwqnza
  11. arnjaam

    Side hussle

    Ndo nan huyo na semina kuhusu nn
  12. arnjaam

    Side hussle

    duuuuu 😂😂😂😂 kaka
  13. arnjaam

    Side hussle

    Ahahaahahh sawakaka nimekupata! Asante kwa ushauri pia
  14. arnjaam

    Side hussle

    Hapo sijajua wala sijafatilia yan!! Nlikua naomba ushauri kwanza mtu anaejua zaid anaweza nijuza pia zaidi
Back
Top Bottom