Recent content by Armstrongs

  1. Armstrongs

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu sikukukata Tamaa.. Wewe ulini motivate sana licha tumechoma sana Nauli Dodoma. Ila Tusikate Tamaa. Hapa nikuwa mtumishi mwema sema 2022 ulikuwa mwaka wa kipekeee ajira zili mwaga nyingii. Nikawa naenda zote sikujalii kuchoma Nauli. Mungu kajibu Kilio changu. Sasa hivi stress Ajira sina...
  2. Armstrongs

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu nikifuata Barua nitakuja kwa kutuliiia... Nieleeeze kila kituu. Humuu. Maana huu Uzi bado haujamaliza Mwaka ila ushuhuda watu wametooa wengi sana. Mimi naye nimebahatikaa kupata.. Kikubwa tupambaneee
  3. Armstrongs

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Guys nimepata Kazi...mimi Ndio muanzilishi wa huu Uzi sema Account ilipigwa BAN. Ila tuendeleee kupambana. Nimepata kaz bila connection. Japo nilikandwa Taasisi kama 5 uko Nyuma. Sikutegemeea kupata kazi. Ila tupambaneni wadau Mungu Ni Wetu Sote.
  4. Armstrongs

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hamna sababu sema ndio siwez zagi ku comment(kuchangia mada) wala ku Pm mtu. kaz yangu ni ku view tu
  5. Armstrongs

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Oral mbili 2.. zimebaki japo tangu june nili ingiga Oral nyengine mbili 2 uko nilikula za uso.
  6. Armstrongs

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    issue nahisi ilianza kwny ule uzi wa Yule jamaa aliye pata ufaulu mzuri (alikuwa wa pili) lkn kada ya TA na akawa not selected... nyiee mliletaga mad mule ika trend cku hiyohiyo nikala ban kwny ule uzi wangu wa pili
  7. Armstrongs

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    hapo uwaulize system administrator wa JF. maana nimepigwa ban bila warning yeyote. hata ku changiaga mada naonaga jau. nipo zangu nasubiriii Placement nilizo zipiga sahili zake mwez November na October[emoji28][emoji28] Isije na hii account ikasepa pia
  8. Armstrongs

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    haya wakuu nimepiga Oral zote mbili narejeaaa home nipo Stand ya Nane8 naska gari la home.. asanteni kwa ushauri.. tusikiliziiie Placement sasa ambayo nahisi itatoka January.
  9. Armstrongs

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Asanteni wakuu kwa ushauri ngoja nisomee zote kesho nitege nyavu sehemu zote
  10. Armstrongs

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    wakuu nimechagulia oral post zote mbili halafu mda wake ni mmoja hapa huwa inakuwaje nichagueee sehemu moja tu niache tamaaa au.. kuna mbinu nyengine
  11. Armstrongs

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    leo jioni
  12. Armstrongs

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    hahaaa ndioo mkuu
  13. Armstrongs

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    muda tofauti
  14. Armstrongs

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    ameen
  15. Armstrongs

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Paper nimepiga Mbili sema naona kama zote nimepigwa za Uso. ila matokeowaesema kesho
Back
Top Bottom