Recent content by Aristides

  1. A

    Waziri Selina Kombani (Katiba na Sheria) na Hatima ya Katiba Mpya

    Inasikitisha sana kuona waziri anafanyia mzaha vitu ambavyo inagusa uhai wa watanzania.
  2. A

    GE2010 Wasanii wa kizazi kipya wameitosa demokrasia nasi tuwatose

    Aswah!tuwatose natuendelee kuzicopy kazi zao na kuzisambaza bure mtaani.
  3. A

    GE2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

    Sipati picha mjengoni kutakuwaje!'YES WE CAN'we have proved that and we made it.
  4. A

    GE2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

    Jamani mwenye matokeo ya majimbo tuliyofanya vizuri "CHADEMA"atujulishe jamani.
  5. A

    CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    Ninafuraha kweli kweli maana nchi ccm walitakakuifanya kuwa wa 'HATI MILIKI' nayo.shame upon them!
  6. A

    GE2010 Mbona walitaka sisi tukubali matokeo na wao sasa wanagoma?

    Wao walikuwa wa kwanza kusema tukubali matokeo,sasa mbona wao wanakuwa wa kwanza kukataa kusaini.Je aibu yetu aibu yao?peoplesssssssssssssss!
  7. A

    GE2010 Matokeo Ya Urais, kulikoni jamani?

    Mwenye matokeo ya majimbo ambayo CHADEMA wameshinda!Plse
  8. A

    GE2010 Matokeo Ya Urais, kulikoni jamani?

    Jamani wanajamii mbona matokeo ya urais yanatangazwa kwa kusuasua natena kwa upendeleo"naimanisha yanatangazwa kule mgombea wa urais wa CCM anakubalika!
  9. A

    GE2010 Matokeo Ya Urais, kulikoni jamani?

    Jamani wanajamii mbona matokeo ya urais yanatangazwa kwa kusuasua natena kwa upendeleo"naimanisha yanatangazwa kule mgombea wa urais wa CCM anakubalika!
Back
Top Bottom