Mimi mtoto wangu wa kwanza nilipoenda kumbatiza Kanisa Katoliki Kunduchi Mtongani 2011,jina nililochagua lilikubaliwa vizuri, siku ya ubatizo asubuhi kabla ya misa kuanza Padre aliniita Sacristy akaniambia hili jina halipo na mimi nikasema lipo mwisho akakubali kumbatiza.
Mtoto wa pili 2016...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.