unaatakiwa uende chuo ulichopangwa wakupe confirmation letter kuwa huja atend pia uende bodi kutoa taarifa nao wakupe cnfrmtn letter pia co kienyeji unaacha kwenda
ingia kwenye website yao tcu kuna contact mule zao ztakusaidia hzo wanazotoa voda huwa znazngua halafu nawashauri mtumie tigo pesa coz tatzo kama hlo ukiwataarfu wanKusaidia voda wanaringa ni nlitumia tgo ikaNgua wakansaidiA nkapata voucher
hyo taarfa wamebadilisha j5 wazee mi mwenyw nlifata lile tangazo la kwanza kufka pale wamebadli xo nkageuka kuchukua hyo letter ila walotangulia hamna noma hyo ni wale wanaopeleka kuanzia hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.