Recent content by Aratif

  1. Aratif

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Mungu ameuseti ulimwengu na kuuacha ujiendeshe wenyewe

    Inabidi uumize akili ukipata jibu ufatishe kile unachofikiri kipo sawa
  2. Aratif

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Mungu ameuseti ulimwengu na kuuacha ujiendeshe wenyewe

    I wish tutoke haraka kwenye vifungo tulivyojifunga wenyewe
  3. Aratif

    JamiiForums Tanzania Mtaa umejaa wanaijeria

    Nimevuta picha tunavyochukuliwa sisi waamiaji daah, nimesoma hiyo post pamoja na kufatilia comment mmh ifike mda nirudi nyumbani pengine nitapata heshima ninayostahili Kwann? Haswa tunachukuliwa ni kama ni watu haramu na hatuna tunachofanya ugenini Kama sio kuuza madawa na dili zilizo kinyume...
  4. Aratif

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

    Experience Ukimuomba M/Mungu mwaka huu anaweza akakujibu/akakupa baada ya miaka 10 na hata 15 anapoona yeye kuwa upo tayari kwa ulichokiomba kuwa upo vyema na utaweza kukitunza na kukilinda Asante M/Mungu Kwa kila jambo nitaendelea kukutukuza daima kama nilivyofunzwa na walezi na wazazi...
  5. Aratif

    JamiiForums Tanzania Hii kuzeeka kwa huyu mdudu ni kweli?

    Kwa nini? Usi pract kuliko kwenda kusoma maelezo yaliyoandikwa na binaadamu mwenzako pengine nayeye alikosea kuingiza kwenye mtandao taarifa sizizo sahihi Au alipofanya uchunguzi yeye ilikuwa sahihi then process ya mdudu husika ilikuja kubadilika... haufikirii hivyo au hauoni wengine wanasema...
  6. Aratif

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wachaga kurudi kwao Kilimanjaro kila ifikapo mwisho wa mwaka ni jambo zuri na la kuigwa na makabila mengine

    Tangu niliposafiri ndipo nimegundua huu utaratibu ni mzuri sanaa aisee Nipo South Africa, Nili stay kwa miaka 4 Bila kurudi nyumbani aisee nilikuwa naumwa kichwa kila siku yaani kwa mawazo na stress isitoshe kipato nilikuwa napata cha kawaida sanaa nilipoamua kujenga utaratibu wa kurudi...
  7. Aratif

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

    Habari Nipo na umri huo yaani mwezi huu ndio nimetimiza 30 Maisha yanaanza palee unapojitambua/unapopata akili timamu, haijalishi unaanza kujitambua ukiwa una umri gani? Hata ukiwa na miaka 5, 8,9 au 45 , 50 , 70 yaani palee unapoanza kujitambua ndio maisha yako yanapoanza maana utajua...
  8. Aratif

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi nzuri na rahisi kutafuta maisha na kupata hela kama Afrika Kusini

    South Africa ni JANDONI
  9. Aratif

    JamiiForums Tanzania Harakati za kutoka Afrika Kusini na kurudi Tanzania mazima kuanza maisha nyumbani

    Shukrani Chief Kiukweli naumia kichwa sanaa ila najua yote haya yataisha tu , SA unaweza ukawa na pesa na magari lakini amani ya kweli unaikosa Polee na hongera mkuu pia asante Kwa kunipa ushuhuda wako Bado nipo kwenye kifikiria na nimefikiria uber kwa wazo la kwanza coz kuna jamaa yangu...
  10. Aratif

    JamiiForums Tanzania Nipo Afrika Kusini mwaka wa 6 huu binafsi maisha ya huku sijayaelewa

    Habari zenu Naomba nielezee kiufupi Nikisema sejayaelewa maisha ya huku naomba mnielewe hivi yaani sina furaha nayo na malengo yangu kiujumla kimaisha ya binafsi na kimaendeleo yangu yaani hayaendani na mipango yangu ya kuanzisha familia na maendeleo kimaisha kiujumla Nilikuja huku miaka...
  11. Aratif

    JamiiForums Tanzania Naanza kuamini Bundi kulia usiku Mahali palipo na mgonjwa ni ishara mbaya

    Kiufundi kabsa Bundu ni ndege mwenye uwezo mkubwa wa kunusa au kupata harufu ya mzoga Kwa uweledi na umakini mkubwa bila kukosea Na mwanaadamu kabla ya kukata roho yaani kabla ya kufa zinaanza kufa seli zake za mwili kwanza so mwanaadamu hapo anaanza kufa taratibu taratibu mpaka anapofikia...
Back
Top Bottom