Kuongezea Quran inasema mtu bora kabisa mbrle ya mwenyezimungu ni yule mchamungu.
Superiority mbele za Mungu ina rank kwa level yako ya uchamungu na sio rangi yako
Haya maelezo sahihi ya kufata mkuu.
Kisha chukua documents za gari nenda TRA kama uko dar nenda posta jengo la bandari floor ya saba utapigiwa hesabu zako vizuri kabisaa
Ili uweze kulipa kodi sawa na iliyo kwenye calculator hakikisha CIF yako haizidi ya kwenye calculator, maana sheria inasema ofisa achukue cif iliyo kubwa kati ya uliodeclare na iliyo kwenye calculator
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ulikosea timing mkuu wakati unaagiza gari yako ilikua haijafikisha miaka kumi ya uchakavuu,lakini wakati unafanya declaration tushaingia 2020,na uchakavu tayari ni zaidi ya miaka kumi ambapo wanakuchaji 30% ya uchakavu tofauti na 15% ikiwa gari halijazidi miaka kumi
Sent using Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.