Recent content by ARAFAT21

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wadada najitokeza tena bado sijapata

    Mimi ni kijana ninaeishi arusha na ni mwajiriwa wa serikalini, najitokeza kwa mara ya pili kutafuta mwanamke ambaye tutaanza maisha na kuwa kama mke na mume; sifazangu elim...............cho kikuu rangi...............meupe urefu...............zad ya ft tano mbombe.........nakunywa kiasi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa arusha, moshi na manyara njoo tuanze maisha

    Wadau bado sijapata mwenye vigezo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa arusha, moshi na manyara njoo tuanze maisha

    ni mfanyakazi ila sio ticha dada angu na wala sikai kwa morombo, karibu sakina
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa arusha, moshi na manyara njoo tuanze maisha

    jaman wadau bado sijapata
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa arusha, moshi na manyara njoo tuanze maisha

    yaaah li kaka ila ata hapa naamini ntapata aliye serious
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa arusha, moshi na manyara njoo tuanze maisha

    Jaman bado sijapata
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndizo dalili 7 za mapenzi bora kwa umpendae

    kweli ukiweza kuyafanikisha mambo haya unakuwa na mapenzi mazuri
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi bora ni haya jamani

    hapo mimi sina swali kabisa
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuweke mgomo wa kutongoza

    mmmmmmm hapo pagumu sana
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fupi tamu jamani lakini ndefu hakika inakera

    kinachotakiwa kuwa na size ya wastani tuu, isizid na isipungue
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umenipendea nini?

    mmmm ili swaali ni gumu sana
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini penzi la mbali linanoga kuliko la karibu?

    mmm siamini kama linanoga sana sana kutiana maumivu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa arusha, moshi na manyara njoo tuanze maisha

    Mimi ni mwanaume naishi Arusha, najitokeza kutafuta mchumba wa kike(mke) ambaye yupo kwenye mikoa tajwa hapo juu(arusha, moshi na manyara) ili tuweze kuonana kwa urahisi. SIFA ZANGU Miaka.............30 Dini...............muislam Kazi.............mwajiriw serikalini Elimu.............chuo...
Back
Top Bottom