Recent content by arafat mzee

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hivi tutaandika post za kusifia vyuo mara udsm,sua,mzumbe,udom mpaka lini huo sasa ni ulimbukeni.

    katika hali ya kushangaza kila ukiingia jf jukwaa la elimu utakuta mara huyo kaweka vyuo top 5 ya afrika, mara huyu anasema chuo cha kata, mara huyu anasema chuo kikubwa afrika mashariki na kati,jamani humu jf jukwaa la elimu ni sehemu ya kuelmisha na kutaarifiana vitu vya msingi sio mtu kisa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    thanks nasi tunangoja.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Waalimu wanasabisha wenyewe wadharauliwe!!

    bado suala la kuwa aliyefel ni mwalimu bado ni hoja ambazo sio za mtu mwenye akil timamu fanya reseach chukua mwanafunz aliyepa dvs 4 point 30 mpeleke cba au vyuo vingine vya biashara hawezi kukosa nafasi au mchukue huyo huyo kaombe ualimu angalia je?wapi atapata nafas kwa njia hiyo utafaham je...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hatari udom, ya mtwara wiki hii

    bado kufanya uharibifu sio kutatua matatizo pia bado hamjajikomboa hizo zilfanya na wafanyakaz wa viwanda miaka ya 1800s sasa mnawaza kufanya leo 2012 hiyo interval inaonesha ukondoo mlio nao.shame on you.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

    unaweza ukawa unachoongea just unahis au unaskia ila hakuna reseach ambayo umefanya pia untakiwa uwe unatumia akil kdogo ukichangia kwan tunasema no data no reseach no right to talk.
  6. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA vipi mgombea urais 2015 mbona kama...?

    all in all chadema,ppt maendeleo,tlp hata wakishinda tanzania itakuwa ile ile ya wagojwa kulala chini hospital,barabara kuwa mbovu kwani chama chenyewe katika majimbo kilichotwaa bado wananchi wanalia shida ya maji,barabara mbovu na mbunge akiwa mjengoni anasimamia interest za chama na sio jimbo...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

    kwanza hiki ni kitendo cha kuaibisha chuo pia nashindwa kuelewa kuwa ugumu wa maisha mbona unakuwa mapema kiasi hicho akat bado bum tangu litoke miez 2 haijaka pia lakshar zimezid kwani kila siku disko konset zinatangazwa,pia matumiz yasiyo lazma,je kwa hali hii kuna uwezekano mkubwa wa wao...
Back
Top Bottom