swala hapa sio kujikubali au kujikataa... swala ni kuwa comfortable...
Mbona majipu yanatumbuliwa..
Mabusha yanafanyiwa operation..
Vinyama vya mwili vinaondolewa. Na wanaozaliwa na viungo vimezidi au kukaa vibaya wanarekebishwa...
Au kujikubali kwako ni kwa kiwango kipi labda?
Hi People.. nahitahi tu kujua eti hapa Bongo ear surgery huwa inafanyika ili kuweka sawa visikio vilivyojitokeza sana..
Nina ndugu yangu anapata shida sana mpaka naona aanakuwa affected psychologically sababu ya kuchekwa na watu kama kumshangaa hivi...
Nchi za wenzetu wanafanya ... sasa Bongo...
Hata wewe mwanaume waeza jibu... Suppose.... kama ni mkeo ungemtegemea afanye nini.. ? Au kama ni dada yako ndo anakuomba umwambie cha kufanya..... mfano.
Ni mke... uko nyumbani mchana mmoja.. ghafla anaingia mume wako akiwa anatweta jasho na kwa kumuangala vizuri unaona ana damu kwenye nguo na mwilini kiasi.. Anaingia ndani anakusimulia kilichotokea...
Kwamba deal na mshikaji wake halikwenda vizuri.. things got worse.. they fought and he killed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.