Recent content by Appuch

  1. A

    Akina dada huu utaalamu utawacost sana, hivi inakuwaje unaweka viungo sehemu za siri kama pilau?

    Wakat mwingne hawa wanawake tuwape likzo. Tusiwashobokee..wastuke kam tumewasusa vile. KAUSHA, KULA NYAMA CHOMA NA BIA, RUKA MAJOKA ALONE, SEPA ZA BILA KUWAPA LIFTI ....MIDA FULANI PIGA ZOEZI LA VIUNGO KUWEKA MWILI XAFI. ITA MZUUUUUKAH XANA TU MAN. Walimbwende wetu wa ki africa sasa wamekuwa...
  2. A

    Akina dada huu utaalamu utawacost sana, hivi inakuwaje unaweka viungo sehemu za siri kama pilau?

    Hawa viumbe wamejaaliwa machozi. Ni wa kulia lia tuu. Yaan daily wana haha kama siafu. Mara nyingi hufanya kaz ya kutwanga pili pili kweny kinu na kujipatia mshahara wa kukohoa. Ubize wao wote ni kushindana wao kwa wao juu ya nani zaidi katka kupapatikiwa na vidume. NDIYO MATOKEO YA...
  3. A

    Kiboko Yanguuu! Cha Moto Nilikiona Kumpata Na Kujivinjari Na Mkaka Average Jo,Nunda, Mwenye Msimamo

    Mkuu Lara 1. Tofauti zetu ndo uzuri wetu. NAKUPENDA TU YAAN...JINSI ULIVYO. Uwepo wako jf, unanivuta nikufuate, nikufunue, nikusome ndo nipate usingizi. Ulivyo ndivyo ulivyo....ila hofu na mtu huna. Unapenda rrraha, unapenda story..ni mchesh kwa kweli. Ungekuwa mtangazaji, kipindi cha...
  4. A

    Kiboko Yanguuu! Cha Moto Nilikiona Kumpata Na Kujivinjari Na Mkaka Average Jo,Nunda, Mwenye Msimamo

    Hakika mkuu Lara 1, ni mzuri kwa kutiririka kiuandishi. Kweny hili eneo la malovee...ananinogea sana. ILA fikra zangu...kipaji cha uandish ni sawa anacho, ILA NADHANI AKIWA MWANDISHI,, HAWEZI KUWA FASTA kwa furaha ya maisha kama alivyo sasa. Huyu ni mtu wa heka heka, mwendo wake ni mchaka...
  5. A

    Mwanaume hafumaniwi

    Teh teh teh.....hahahaha! Hiyo maneno yako, nimecheka.! Yaan, asiandikie mate ilhali wino upo. Haya bana....unaweza ukawa umemstua huyu mtoa mada. Kama alikuwa mguu pande...nahisi sasa yuko mguu sawa. VITA UISIKIE TU KWA JIRANI.
  6. A

    Mabinti amkeni mnazeeshwa na makanisa ya kiroho

    Kumbe mkuu umeliona hili! Aisee, ni tatizo sugu kuliko hata Sugu mwenyew. Umeeleza kifupi ila umeweka yote. AKILI ZETU HAZINA AKILI. WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA. Mungu asema. Ujinga ndio chanzo na mwendelezo wa umasikini huuu! Na sasa wamebaki wanawake, mabinti, watoto na...
  7. A

    Utafanya nini ukimfumania mkeo/mumeo akichepuka?

    2,3 na 4 Siyo maamuzi sahihi. No.1 na yakwangu 1, MUACHE ama MSAMEHE NA UENDELEE NAYE. Ikiwa moyo wako unataka.
  8. A

    Msaada;mchumba wangu anaumwa nini?

    Mchumba wako haumwi chochote...ila ni muzigo musito tu. Piga chini. Sexy shape, baby face, sweat tongue=ATTITUDE YA BIASHARA, anauza vyote hadi yey mwenyw. Mara nying watu hawa ni Bar-maid, bussiness lady, hotelia, dancer n.k. HAWAOLEWI HAWA. ANAYEOA HAWA KAJISAHAU...kwambaa, ni cha wote...
  9. A

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    Mkuu kwa kumtaja tu Joran Kiango ndo nimeku-quote. "tafadhari mkuu unifahamishe vtabu vya Joram Kiango na vingne dizaini hiyo nivipate wapi???" Nilipata tu kusoma kitabu chake "ZERO HOUR", english version. Nimebaki kutamani tu kuvipata na vingne vya aina hyo...MSAADA WAKO TAFADHARI.
  10. A

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    utakagua vyeti vya kuzaliwa???
  11. A

    Kwa wale mnaowachukia mashoga nina swali

    Wote wamekuelewa vema...ila wameelemewa na ubinafsi usio na faida ktk kufikiri. HAWA NI WAFUASI TU WA DEMOCRASIA...LAKNI HAWAIELEWI. Ndiyo shida mkuu. Maovu/mabaya kimtazamo...hayabadiliki kuwa mema. Na Mema jinsi yalivyo hayageuki kuwa mabaya. KAMA YAITWA DHAMBI..BASI NI DHAMBI TU, si...
  12. A

    Njoo nikuoe

    KKKT Forest ndo wap mkuu???
  13. A

    Hizo khanga zenu hizo!

    Majibu haya hapa.
  14. A

    Avatar za warembo wa jamiiforum ingalikuwa real ningeuza mali zote nibaki peke

    Hongera hata kwa jibu lako hili. Hii ni dalili ya mke mwema. Cuz nilitaka kuanzisha ugomvi na wew kimawazo kuhusiana na ile mistari yako ambayo kimtazamo.....ni hasi zaidi. KUNYAMAZA KWAKO, UMEMALIZA UGOMVI! Kama umeolewa...basi wew ni chombo chema ndani ya house(ndoa). Ila sasa ukigundua...
Back
Top Bottom