Recent content by Apparent

  1. Apparent

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, natafuta namna ya kujilipia masomo ya Ualimu

    Diploma ya Elimu(Sekondari) huwezi kusoma kwasababu sifa ni Division I-III na kuanzia Principal Pass mbili hapo wewe una Principal moja. Jaribu Diploma zingine zote wanadahili bila kuangalia Division ilmradi uwe na Principal moja pia Subsidiary moja.
  2. Apparent

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu kozi hizi naomba anisaidie, muhimu ni vyuo vinavyohusika

    Umejuaje kuwa nimesahau,unazijua shule zote za Sekondari Tanzania. Ila UDSM najua sio neno geni kwako.
  3. Apparent

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu kozi hizi naomba anisaidie, muhimu ni vyuo vinavyohusika

    Naomba wale wanaosoma Chuo cha Utumishi wa Umma(Ilala) kuna Certificate/Diploma ya hizi kozi,kwenye form yao ya maombi hazipo ila kwenye kitabu cha mwongozo zipo.
  4. Apparent

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu kozi hizi naomba anisaidie, muhimu ni vyuo vinavyohusika

    Habari ndugu zangu wana JamiiForums. Naomba kutambua vyuo vinavyotoa (kufundisha) kozi zifuatazo kwa mkoa wa Dar es Salaam. 1. Basic or Technician Certificate in Office Assistance. 2. Basic or Technician Certificate in Office Management Chuo kiwe mkoa wa Dar es Salaam Elimu yangu ni; 1.Form...
  5. Apparent

    JamiiForums Tanzania Bado sijakata tamaa hata kama bado siku mbili tu,nisaidie leo nitashukuru sana.

    Asante wamenisaidia sana
  6. Apparent

    JamiiForums Tanzania Bado sijakata tamaa hata kama bado siku mbili tu,nisaidie leo nitashukuru sana.

    Nilikuwa kwenye mtihani wa kwanza.
  7. Apparent

    JamiiForums Tanzania Bado sijakata tamaa hata kama bado siku mbili tu,nisaidie leo nitashukuru sana.

    Sijadanganya hata waliokuja chuoni wangeandika chochote hapa kwenye thread.
  8. Apparent

    JamiiForums Tanzania Bado sijakata tamaa hata kama bado siku mbili tu,nisaidie leo nitashukuru sana.

    Asante sana kiongozi kuhusu ada imetimia. Labda kwenye simu tu kwa ajili ya kununulia wali maharage
  9. Apparent

    JamiiForums Tanzania Bado sijakata tamaa hata kama bado siku mbili tu,nisaidie leo nitashukuru sana.

    Nakumbuka umewahi kuniambia nikutumie taarifa zangu za chuo nilikutumia,ukiomba za huyo utaona majina tofauti.
  10. Apparent

    JamiiForums Tanzania Bado sijakata tamaa hata kama bado siku mbili tu,nisaidie leo nitashukuru sana.

    Tofauti mbona nimekuwa wazi sana hata ungepiga simu ningekuja ulipo
Back
Top Bottom