Recent content by Apostle Ezekiel

  1. Apostle Ezekiel

    JamiiForums Tanzania Ni kweli uwepo wa Pyramids bado ni kitendawili hapa duniani ama kuna siri imefichwa?

    Hii inashangaza sana kwakweli
  2. Apostle Ezekiel

    JamiiForums Tanzania Ni kweli uwepo wa Pyramids bado ni kitendawili hapa duniani ama kuna siri imefichwa?

    Kinachoshangaza pale zaidi ni Yale mawe yalivyopangwa kitaaalamu,pili lili jiwe moja ni kama IST Moja Sasa huwa najiuliza walipandishaje hayo mawe vile? Basi wanadamu wa zamani walikuwa na nguvu sana.Tatu hakujawahi kutwa miili yoyote mule yaani wale mafarao,Sasa nadhani Kuna mambo mengi sana...
  3. Apostle Ezekiel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dah kutoka kuwa na furaha hadi hofu

    Siku zote kwenye simu yako unatakiwa uwe una Doctor mwana.Ishu kama hizi anakupa njugu Chapu before 72 hrs uepukane na Ngoma,Sasa we kwasasa anza kula vizuri na mbogamboga usiache na mazoezi kwa sana.
  4. Apostle Ezekiel

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata zaga na ngozi za ng'ombe kavu?

    Kwenye ushirikina sipo huko kaka,jaribu kuchimba vitu na kujifunza kwanini uniwazie hivyo?
  5. Apostle Ezekiel

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata zaga na ngozi za ng'ombe kavu?

    0654505339 tuongee
  6. Apostle Ezekiel

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata zaga na ngozi za ng'ombe kavu?

    Hapo kwrny Kwenye kinyesi sifahamu maana hata kama Kina mantiki basi ni mbolea nadhani,ila iyo zaga ni kwa ajili ya kutengeneza bandages na ngozi ni matumizi mbali mbali ila west Africa ni msosi pia.
  7. Apostle Ezekiel

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata zaga na ngozi za ng'ombe kavu?

    Sijakuelewa
  8. Apostle Ezekiel

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata zaga na ngozi za ng'ombe kavu?

    0654505339 nipgie tuongee
  9. Apostle Ezekiel

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata zaga na ngozi za ng'ombe kavu?

    Zinaenda kutengenezewa bandage.Kwa ngozi kwa kule Nigeria ni chakula kabisa hasa west Africa
  10. Apostle Ezekiel

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata zaga na ngozi za ng'ombe kavu?

    Tunazipataje na sisi?
Back
Top Bottom