Recent content by apoloto

  1. A

    Kama uenyekiti ndio hivi, wakionja urais watafia Ikulu

    mkubwa ww baada ya kutafakari mambo ya msingi unaongelea mambo ya chadema ambayo hayakuhusu watu hawakupendi ww..
  2. A

    CCM yaupoteza upinzani Tunduma

    kweli kabisa ngasa amekosa goli kijinga sana hatujamuelewa kabisa upinzan umefanyaje.
  3. A

    CHADEMA Ruvuma kimenuka

    hapo nakuelewa vizuri sana tatzo cdm wanandekeza njaa sana ndo maana wanatekwa kirais kama kuku kwenye mtego wa mahindi fuime njaa tupu kibaraka wa nchimbi, mkae mkao wa kula mamilion ya lowasa yanakuja wenzenu mby wameyabeba wanajengea wameksahau hadi chama..
  4. A

    CHADEMA Ruvuma kimenuka

    hao wote wanataka kutumia ugomvi wa zito na chadema kupata umaharufu chadema ruvuma bado kaz ipo kuchukua jimbo.
  5. A

    Zitto amburuza Kilewo polisi

    mi sisemi kitu mpaka ajibu tuhuma za kugawa fedha kwa akina Gwakisa,Mwampamba ,saanane na nyie wote mpo humu tunajua hebu fungukeni tupate cha kuwahoji, huyo zzk ni nani yenu ....... mpaka awape hzo fedha...
Back
Top Bottom