Recent content by Apollo 11

  1. Apollo 11

    Utafiti wambeba Magufuli urais 2015

    Huwezi kwenda mbinguni kwa nguvu za giza..:mvutaji: Makamanda walipokosea ni kuchukua kibabu kigonjwa chenye uchu wa madaraka. teh teh teh! sijui kaungonjwa gani kale kenye dalili za kutetemeka mikono.....
  2. Apollo 11

    Mkakati mzito wa kufungua kesi mahakama kuu ili kuzuia bunge kujadili repoti ya escrow account

    Mkuu you are very right! kila sekunde kuna kiuzi kina zaliwa humu chenye kinogesho cha IPTL, siyo vibaya kama kitakuwa kinataarifa iliyoshiba lakini huyu nae sasa ana hoja gani? Nadhani kajifunza kitu kwenye coment yako.
  3. Apollo 11

    Mkakati mzito wa kufungua kesi mahakama kuu ili kuzuia bunge kujadili repoti ya escrow account

    Mimi sipo huko! Kwahiyo tujaze tetesi za kila kich@a humu Jf? Walete habari zenye mashiko, siyo ujinga wa hivi! Siyo lazima wote tupost wengine tunaweza kubaki kama wachangiaji au tukasoma na kupita tu.
  4. Apollo 11

    Ripoti ya IPTL haina madhara kwa wahusika, hakuna wa kuwajibika

    Haina madhara sababu fedha ni stahiki halali ya IPTL. Wameuza umeme na mitambo ipo pale tegeta, wamelipwa stahiki yao.
  5. Apollo 11

    Mkakati mzito wa kufungua kesi mahakama kuu ili kuzuia bunge kujadili repoti ya escrow account

    Huu ni up-uzi na inaonyesha jinsi ulivyo mj!nga na mp^umbavu, tumia muda wako vizuri. Unajaza space tu kwa kuongeza vithread visivyo na kichwa wala kiuno.
  6. Apollo 11

    Revealing: TANESCO inaidai IPTL Tshs Bilioni 321...

    Kwahiyo madai yenu ni yapi nyie kina Kafulila? Chenji au fedha ya escrow yote? Kama ni chenji imetoka wapi wakati kabla ya IPTL haijaanza kupokea hizo capacity charge na malipo mengine kulikuwa na hukumu ya ICSID ya mwaka 2001 iliyoshusha Capacity charge na IPTL walikubaliana nao ndio uzalishaji...
  7. Apollo 11

    Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    Kwahiyo IPTL wasilipwe sababu wewe umemezeshwa uchafu na wanasiasa wasaka tonge? Fedha ya escrow ni mali ya IPTL. ""What brings the transaction into question is the fact that at the time of the purported sale of shares, IPTL had power plants located in Tegeta, Dar es Salaam, worth millions of...
  8. Apollo 11

    Barua hizi zinaonyesha Wahusika wakuu wa wizi wa ESCROW funds,l tuzichambue kwa umakini

    Kwani hayo si mawasiliano ya kawaida tu ya kiofisi au?? We umeelewa nini kwani? Yaani hizo documents zinaonyesha ufisadi?? Duh!
  9. Apollo 11

    Barua hizi zinaonyesha Wahusika wakuu wa wizi wa ESCROW funds,l tuzichambue kwa umakini

    bwi bwi bwi bwi bwi! acha kutokwa na uh@ro wee kich@a, kwani ulidhani hatufahamu, tunamjua bah@sh@ aliyekutuma. Miropoko mingiii, unajua hata hadidu rejea za PAC wewe?? au unahemka tu k!az! wewe....$#*8
  10. Apollo 11

    Barua hizi zinaonyesha Wahusika wakuu wa wizi wa ESCROW funds,l tuzichambue kwa umakini

    Acha kupanic sasa. Umetumwa wewe kwa viposho vya kusukuma siku, unadharirika humu kwa visenti vidogo vidogo!!! tafuta kazi ufanye wewe acha kutumika. Kwahiyo wewe kuwepo hapa ever since ndio kunamaanisha nini sasa kilaza wewe? Kwa mchango gani unaotoa wenye maana humu kwenye jukwaa wewe mpaka...
  11. Apollo 11

    Barua hizi zinaonyesha Wahusika wakuu wa wizi wa ESCROW funds,l tuzichambue kwa umakini

    Wewe fis! maji tulia! acha kuhemka. Kilaza wewe, na nimegundua utabaki kuwa kilaza mpaka jua liache kutoka. Akili zetu hazina akili, hatuna tofauti na aliyekutuma.
  12. Apollo 11

    Barua hizi zinaonyesha Wahusika wakuu wa wizi wa ESCROW funds,l tuzichambue kwa umakini

    Ushauri wa bure. Kama mpo kwenye muendelezo wa propaganda iliyofadhiriwa na Mkono sawa lakini hakuna haja ya kuhukumu watu humu kuwa ni mafisadi na majina mengine mengi, kwanini sasa??, Hizi ni kampeni chafu tu , tusubiri hiyo tarehe 26/27/28 tujue mbivu na mbichi. Tuone kweli kale kajamaa...
  13. Apollo 11

    Barua hizi zinaonyesha Wahusika wakuu wa wizi wa ESCROW funds,l tuzichambue kwa umakini

    Wewe ndio hamnazo, mwenzako kajenga hoja, jibu hoja siyo unakurupuka tu kwa vimaneno vya k!sh$enz! kilaz@ wewe.
  14. Apollo 11

    Barua hizi zinaonyesha Wahusika wakuu wa wizi wa ESCROW funds,l tuzichambue kwa umakini

    ba ba ba ba ba!! we ndugu hujielewi hata kidogo, alafu sijaona hata sehemu moja uliofanya huo uchambuzi.
  15. Apollo 11

    Nimeshanunua wine kusherehekea kuondoka Werema na Prof Muhongo!

    Mnajitekenya tu na kucheka wenyewe!! Mnapanga matokeo kabla ya mechi kuanza, acheni uvivu wa fikra. Hamjui mnachokiongelea. Tumbiri atabaki kuwa tumbiri tu, that will never change subirini tarehe 26/27/28. maneno mengi yanini ???
Back
Top Bottom