Recent content by Apollnary

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa mwingine waja UKAWA/ CHADEMA

    Tatizo mnajifanya nyie ni kina "kj"..... mnyika akitoka hamjui majimbo mawili mshayakosa? ama hamjui la ubungo mshalikosa tayari?
  2. A

    JamiiForums Tanzania NEC: Watanzania wote watapiga kura popote walipo Tanzania ilimradi uwe na kadi (IMEKANUSHWA)

    Naona mwaka huu serikali ya Ccm imeamua kuwaziba mikono kila upande.....ibakie lile lalamiko lenu ambalo halizibiki la "tumeibiwa kura"
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete ndio aliyempigia simu Magufuli akachukue fomu ya Urais

    watu wajanja ndivyo walivyo magufuli aliye waziri machachari ati unasema hana confidence? subiri utaona macofi yake kama huon maconfi yake....
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tume ya uchaguzi

    tatizo lenu mnajichechetua mno.....kura mtashindwa kwa uhalali kabisaaaa....na mnalijua kabisa,ila kujifanya kichwa maji tu kwamba ati mtashinda.... oka tunalolisubiria hivi sasa toka kwenu ni milalamo kwamba mmeibiwa kura
  5. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imejiua yenyewe haijauawa na CCM

    ninadhani kwamba ni ccm ndio wameiua chadema...kwa sababu katika vita,upande mmoja ukizidiwa na mashambulizi basi unaweza ukajikuta unafanya mambo ambayo yanaweza kumshangaza kila mtu kwa jinsi jambo lilivyo la maamuzi yasiyo mazuri....ni sawa na chadema...kwamba mashambulizi ya ccm yamewafanya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa kutangazwa Jumanne kuwa mgombea Urais

  7. A

    JamiiForums Tanzania Big up UKAWA! Mmebadili mwelekeo wa upepo wa siasa za nchi hii ghafla

    tatizo ni kwamba huu muungano ulianzia na masuala yasiyo hitaji "kujitoa"...mambo yanayohitaji kupiga mdomo sana kuhusu kuilaani na kuilalamikia ccm. Sasa hivi,ndio test kweli ya ukawa,kwani wanachotakiwa wakiongee na waelewane ni kuhusu kupata na kupoteza.....mambo ya kizalendo,mambo ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Lucas Selelii ajiunga CHADEMA, kugombea Ubunge Nzega

    kumbe mnaelewa kwamba sababu kubwa inayowafanywa mshindwe kuiondoa ccm ni kule kutokuungana kwenu,lakini huwa mnatuaminisha sababu ni kuibiwa kura. mwaka huu sijui mtatoka na sababu gani
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Balozi Augustino Mahiga inaweza ikawa ndo mwisho wa mchungaji Peter Msigwa?

    ukitaka kujua ni watu gani waliompigia kura mchungaji ile 2010,angalia kura za urais iringa mjini nani alishinda.....hivi unadhani kuna mwanachadema aliyeweza kujitolea kumpigia kikwete urais badala ya slaa mwaka ule?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli, hotuba hizi za aliselema hazijengi chochote!

    Si kweli...wewe ni muongo sema hupendezwi na staili yake ya kutafuta kura na nikwambie...staili yake hii ni nzuri... kwani ni staili ya kupandisha emotions...ni staili ya kupandisha munkari... hebu fikiria siku aamue kutoka na wimbo wa alinselema alija kuanzia ubungo mpaka tiptop mpaka magomeni...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli na CCM Mpasukwa, Lowassa na Matumaini, na Nyota ya CHADEMA

    Kwa wale wanaotaka mabadiliko ya kweli CDM na washiriki wake wanatakiwa kujionesha wanaelewa kadi walizonazo mkononi na ni zamu yao kucheza kwani za CCM tumeziona zilivyochezwa na wamebaki na magarasa tu. Ni wakati wa CDM kuita "Last Card". MMM MwanaKijiji... sisi wengine tunao elewa vema...
  12. A

    JamiiForums Tanzania CCM ivunjike tu

    , uzuri wa huyo mwenyekiti anakuua huku anakuchekea
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tume ya Upwaguzi: Eti huyu kajiandikisha mara mbili kwa BVR?

    1.Hivi lengo la BVR ni nini? 2.Je,zoezi la kupiga kura litakuwaje-hasa njia itakayotumika katika kuthibitisha kwa vekline mwankenja hapigi kura mara 2? 3.kama fingerprint ndio itakuwa entrance point ya utambulisho,unadhani mwankenja atakuwa na fingeprints za aina 2? 4.Hii ni alert kwamba...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa uteuzi ndani ya CCM: Timu Lowassa nambari wani!

    ndugu yangu..... unamkumbuka Samuel Sita spika mwenye ubora wa viwango aliondolewa na ccm ipi//? unamkumbuka yule mzee mhuni mhuni aliyekuwa katibu mkuu wa ccm akatolewa na akawekwa huyu kinana.....ni ccm ya lini ile ilikuwa? kwa mifano hiyo miwili,nadhani unaelewa vema ninachotaka kusisitiza...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mwenyekiti CCM: Wapambe wa Wagombea Sasa Waelekea kwa Mgombea Anayekubalika Kote

    Yaani ni kama jf imeingiliwa.....
Back
Top Bottom