Ahsante kwa elimu hii. Je najuaje taarifa zngu binafsi zipo salama na nawezaje kuziweka salama, na kama zimedukuliwa ni hatua zipi naweza kufata kuzuia tukio hilo na kupata haki yangu.
Awali ya yote nawashukuru JamiiForums kwa kutoa fursa hii ya kuwasilisha mawazo kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu hususani kwa sisi vijana, ambapo tunapata nafasi ya kuwasilisha mawazo yetu. Si kila takataka ni takataka.
Tunawezaje kujua hili, ni kwa kutenga takataka wakati wa ukusanyaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.