Recent content by apizo

  1. apizo

    JamiiForums Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Binafsi nimeielewa hiyo biashara ni mchongo mzuri naitaji mshirika tutakaye share naye binafsi napatikana morogoro mjini Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
  2. apizo

    JamiiForums Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Kama ilikua inakulipa vizuri mkuu kwa nin uliamua kuajiriwa ? Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
  3. apizo

    JamiiForums Mtaji wa 10 milion nipo moro mjini

    Wadau naomba ushauri nina mtaji wa milion kumi, ni biashara gani itafaa kwa moro mji japo kwa Mwezi nipate walau faida ya laki nane? Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
  4. apizo

    JamiiForums Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Nipo morogoro mjini mkuu
  5. apizo

    JamiiForums Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Namtaji wa milioni kumi wadau naitaj kujua nibiashara gani naweza fanya angalau nikapata faida ya milion moja kwa mwez
Back
Top Bottom