JE WAJUA ULIMWENGU UKUPAO KILA KITU UTAKACHO KATIKA KANUNI ASILI YA MAUMBILE? - SEHEMU YA PILI
Leo katika mwendelezo wa mada hii, tutaangazia Kanuni nyingine ya Hermes. Katika sehemu ya kwanza tuliona Kanuni za Chini Juu, Juu Chini na Kanuni ya Mtetemo. Ahsanteni kwa nyote mliovutiwa na Mada...
JE, WAUJUA ULIMWENGU UKUPAO KILA KITU KATIKA KANUNI ZA ASILI ZA MAUMBILE?
Apiov S. Lwiwa, PhD.
UTANGULIZI
Kama ulikua hutambui ni kwamba tunaishi katika Ulimwengu ambao umefungamana, wenye kuongozwa na Kanuni za kimaumbile. Kanuni hizi zinatawala kila kitu na kila mtu. Ingawa Ulimwengu huu...
LISSU NA MBOWE: ZAIDI YA KUGOMBEA UENYEKITI, KUNA NINI KINGINE?
Anaandika Apiov Lwiwa, PhD.
Tumeshuhudia mwendelezo wa mnyukano mkali wa Kisiasa ndani ya CHADEMA (CDM), kati ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu wake Tundu Lissu. Watu hawa wamefanya chama na hata nje ya chama kuwe na...
UTANGULIZI
Katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi mkuu, tumeshuhudia purukushani, vuta nikuvute ya ugombezi wa nafasi mbalimbali za kisiasa katika vyama, hasa vyama vya Upinzani. Zoezi hili, liliambatana na uchaguzi wa Serikali za mitaa, Vitongoji na Vijiji, pamoja na Wajumbe, ambapo CCM...
*MBOWE ATOBOA MTUMBWI,
UTANGULIZI
Hatimaye ile habari iliyosubiriwa kwa kiu kubwa, imefikia tamati leo kwa Mwenyekiti Mbowe kutanganza kugombea Uenyekiti Chadema Taifa. Hii ni baada ya Lissu kutanganza na kuchukua form siku kadhaa zilizopita.
Naaam.!
Vyombo vya Habari kwa siku ya leo...
This article aims to show that one of the main factors for poor performance in corporates is lack of rational communication that is not embodied with reason, truth, facts and values. This kind of communication appeals to emotions, feelings and sentiments; that leads to informal dissemination of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.