Hivi kumbe bado mazingira ya mto Ruaha yanaharibiwa? Mie nilidhani hali yake imeshaboreshwa.
Kwa kweli mamlaka husika zinatakiwa kuchukua hatua stahiki mapema. "Uhai wa mazingira ni muhimu kwa uhai wetu".
HATA WALE WAFANYAKAZI 800,000 WA MAREKANI NAO NI WATII KAMA WATANZANIA TU, MAANA TRUMP ALIKATAA KUWALIPA MISHAHARA KWA ZAIDI YA MWEZI MMOJA LAKINI HAWAKUANDAMANA HATA, WALIKUWA WAPOLE TU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo mimi sijalaumu lakini nimeuliza kinachotukwamisha kufanya kama wenzetu ni nini? Kwa anayejua anasema ili tuone mahali pa kuanzia. Sio kuuliza swali juu ya swali kama tabia ya wabongo. Ukimuuliza unaitwa nani naye anakuuliza kwani wewe unaitwa nani? Kwa nini unauliza jina...
Waafrika wenzetu tena jirani zetu wa Uganda wamezindua mabasi yanayotengenezwa nchini mwao tena na waganda wenyewe. Hivyo badala ya kutoka mabilioni ya pesa nje ya nchi kwa ajili ya kununulia mabasi pesa zote zinabaki ndani ya nchi, pamoja na kuongeza mapato ya fedha za kigeni pale nchi nyingine...
Maamuzi ya Rais ni mazuri, lakini watanzania wengi tumelelewa na kuaminishwa kuwa "katika maisha hakuna changamoto, au katika harakati za kufikia mafanikio hakuna changamoto" hii sio imani sahihi kwa hali halisi.
Kila hatua ya mafanikio ina changamoto zake na lazima tukubali changamoto ili...
Wanawake badilikeni acheni ukatili kwa watoto. Sio tabia nzuri hata kidogo mjue kuwa hamuwakosei watoto tu bali mnamkosea Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii biashara hatari sana maana inafilisi watumishi wengi wa umma yaani watu wanakopa kwa riba kubwa kuliko hata ya benki.
Ninachujua mimi kadi ya benki ya mtu mmoja haitakiwi kumilikiwa na mtu mwingine hata kama wana mahusiano ya karibu kama mke na mume, basi tu watu hufanya hivyo kwa mazoea...
Roho ya ubinafsi ndiyo inasumbua Tanzania. Yaani kuna watu hawajali kabisa jamii wanajijali wenyewe tu. Yaani wako tayari shirika life halafu yeye apate pesa nyingi iwezekanavyo. Sera ya ubinafsishaji na ubepari ndiyo imetuathiri sana. Tungekuwa tunazingatia mapato mazuri ndiyo lakini bila...
Mapendekezo yote naona kama vile ni mazuri japo nikafikiri hasa kwenye kubinafsisha DART kwa 100%. Kwa nini serikali pamoja na kusimamia isimiliki hisa hata kama ni 50% na kampuni nyingine 50%. Maana sera ya ubinafsishaji kwa 100% hapa Tz ndiyo imeua viwanda vyote vilivyokuwepo vikabadilishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.