mimi nilifikiri watu wataungana nawe kukemea ujinga wa suma kumbe wengi akili mgando tu ,yani begi limepita kwenye scanner alafu linakaguliwa tena kwa kufunguliwa sasa kwenye scanner lilipita kupigwa picha ? ushamba
Mimi nakumbuka mapenzi mara ya kwanza nilifanya na mwanadada anaida Anna mtoto wa Inyasi niko kidato cha pili mtoto wa kike yuko kidato cha kwanza nilihisi kudata na mtoto aliamia geto kama siku kadhaa kimyaa ila asee tuunge mkono NRNE
Huku Kondoa mjini hapa kunao wakandarasi wamepewa kazi za barabara ila sasa ni wiki ya pili wamemwaga kifusi barabara za mtaani na wamemwaga katikati ya barabara mpaka pikipiki hazipiti inaleta kero sasa tumevumilia tumechoka kama hawawezi kuvisambaza kwa haraka wasimwage vifusi bila mpangilio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.