Recent content by anxto

  1. anxto

    Njia za kutumia kupata wazo bora la biashara

    IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima. HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA 1. TUMIA UJUZI ULIO NAO Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa...
  2. anxto

    Kilimo cha maharage

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima Maharage ni zao jamii ya mikunde ambalo hulimwa kwa ajili ya kuliwa kama mboga au futari linaweza kama maharage mabichi au maharage makavu. Pia majani yake mni chakula cha mifugo na yanatumika pia kama mboga kwa binadamu. Katika ekari moja unaweza kupata Kg...
  3. anxto

    Nahitaki kioo cha Samsung S24

    Naitaji kioo used cha Samsung s24 ultra, mwenye nacho anicheki 0678216844 tufanye biashara
  4. anxto

    Fursa ya biashara ya dagaa wa Mwanza jijini Dar es Salaam

    Wadau nipende kuulize wapi naweza pata soko la dagaa wa mwanza ndani ya dar es salaam
Back
Top Bottom