Recent content by Antonov 225

  1. Antonov 225

    NECTA, haya matokeo ya hii shule yanatia wasiwasi

    Ni vile tuu mnasahau emphasis iliyopo kwa watoto kutoka kwa wazazi siku hizi. Na bado miaka ijayo wafaulu hasa private watazidi kuongezeka. Tuition wanasoma toka wakiwa nursery school wakati hapo nyuma tuition ni kipindi cha mtihani tena kwa kukaririshwa tuu. Wazazi tuu wenyewe wa sasa wengi...
  2. Antonov 225

    Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni(Forex) yasimamiwa na JWTZ, wananchi watakiwa kwenda Benki Kuu

    Imebakia kwa Taifa stars tuu kuwatoa na kuweka jeshi tupate matokeo chanya. Viva jwtz the next leaders of Tz in the making
  3. Antonov 225

    Tulimpa kuku mchele ili tumle vizuri na wali

    Sawa mmempa kuku mchele lakini achinjiki. Hata kwa risasi hachinjiki. Toa report ambayo mpaka sasa imeonesha waziwazi kuwa anaopambana nao muheshimiwa wanatoka cdm Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Antonov 225

    Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga akosoa agizo la Rais Magufuli

    Naona povu linawatoka kulishauri hili jipu. Yaani Magufuli akamtoe . Sasa mtu hujaomba ruhusa na issue ni kununua kifaa inahusiana vipi na safari zinazoongelewa hapa je Bandari ya DSM inapata hasara kama hiyo hiyo ya Tanga kwa sababu safari zisizo za lazima zimekatwaza? Kwani hicho cha mombasa...
  5. Antonov 225

    Kubenea na muongozo wa udhalilishaji kwa wabunge wa kike wa UKAWA

    Kazi kwako sasa kuchagua kati ya Kubenea na Nape
  6. Antonov 225

    Dar YATAPIKA Mkutano wa Magufuli, NYOMI YA KUFA MTU

    Hii ni photoshop ya mikutano yote iliyofanyika nchi nzima ambayo = na mkutano wa lowasa mikumi
  7. Antonov 225

    Masanduku ya kura yadaiwa kukamatwa jimboni Hanang...

    Halafu kuna wana ccm wanatuma ujumbe kwamba wana ukawa wasifanye fujo waende nyumbani. Hii ni sehemu ya kuhadaa watu ili waibe vizuri kabisa:wink:
  8. Antonov 225

    Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

    Kwa mahesabu ya haraka haraka hata akihama na chadema yote "ingawa si rahisi " atakuwa amepunguza asilimia 0.000000000000001 % ya kura za EL watu wamejikita kwenye mabidiliko na sio siasa za kufuata viongozi
  9. Antonov 225

    Lowassa awageuka tena Polisi

    Hivi jamaii forum haina jukwaa la watoto wanaojifunza siasa?
  10. Antonov 225

    Hatimaye mama Maria Nyerere ampigia kampeni Magufuli

    Mimi mbona naona ni ukikisho jamaa ccm chali. Toka lini mama Nyerere anampigia mgombea urais kampeni? Tena ingekuwa la maana amuombe mama Magufuli amsamehe mumewe kuliko kumpigia kampeni magufuli.
  11. Antonov 225

    CCM oneni aibu tazama hii nchi ilikotoka na mahali ilipo

    Kweli nyie ndio misukule ya ccm si ajabu sana kwa wewe kutoa comment hii. Sasa inamaana sisi umeme na maji si kipaumbele?
  12. Antonov 225

    Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Magufuli anayo hata hiyo miguu mpaka useme kavunjwa?
  13. Antonov 225

    Elections 2015 Lowassa ashindwa kuhutubia Geita

    Jela itoke wapi na wakati atakuwa anasugua bench maana hata ubunge atakuwa hana, labda jela kama ni NGO
  14. Antonov 225

    Masikini watani: Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Urambo ajiunga CCM, asema CHADEMA imeuzwa kwa mafisadi

    Sasa anasema chadema kilikuwa chama cha kutetea wanyonge na sasa kimebadilika je CCM ndio kimekuwa cha kutetea wanyonge? Kweli shikamoo Njaa
  15. Antonov 225

    Majibu kwa Dr. Hamisi Kigwangalla: Hakuna jipya, CCM imepoteza mwelekeo

    Inawezekana kabisa hii Avatar uloweka ni wewe kabisa kwa jinsi ulivyo reply
Back
Top Bottom