Hii no Moja ya kesi ambayo itakwenda kumvutia sn watanzania na mkubuke km Lissu atashinda hii kesi basi akitoka tu nje basi atawasha moto zaido ya hapo. Maana km kuanza kuelimisha jamii ndio kwanza alikua ameanza sasa akitoka ndio atatoa elimu kubwa na sn.
Yaani mpk mwakani mtasikia milio mingine.
Sasaivi anga la Ukraine Kwa kiasi kikubwa liko vzr Russia anafanya mashambulizi Kwa kutokea mbali kabisa ata ndege za Russia haziwezi kuzurura hovyo ktk anga la Ukraine.
Hakuna Cha Iskandar Wala Cha Kinza yaani Wala takataka ya S400 na 500...
Joe Biden anajua sn kusukuma kete ya Chess board! Yaani anasukuma taratibu huku anagonga Blue label taratibu.
Sasa ktk haya majira ya baridi na masika Russia atakimbia ktk ardhi ya Ukraine. Ukraine watakua na F16, watakua na long ranges kibao kutoka US, France na Germany na Storm Shadow ambazo...
Tobaaaaa
Ivi unamfahamu mkristo wa Kweli wewe??
Mkristo wa Kweli ni msabato na nje ya hapo walio Baki wote ni wa uongo
Na Bikra Maria alikufa na kuzikwa hapa hapa Duniani Wala hakupalizwa kwenda Mbinguni.
Tobaaaaaaaa!
Warahi yaani kanisa lijengwe Kwa kajiwe kadogo yaani mwanadamu Petro badala ya kujengwa Kwa Mwamba mkuu ulio imara Yesu Kristo?
Hebu basi acha hizo we Mzee wa ukatukumeni
Watu wanapenda kujifurahisha sn! Yaani hii US iiogope NOKO? Kwa kipi hasa US aiogope NOKO?
US haiogopi Russia ambae ndio Mwenye madude mengi ya nuclears kuliko NOKO na China na Iran alafu Leo mnakuja kupiga kelele hapa NOKO sijui mdudu Gani?!! Hebu acheni hizo bhana. Km mmeshiba na mnakuja hapa...
Russia baada ya kuona Kinzal zinadunguliwa sasa Leo karusha Iskander 11 na zote zimedunguliwa....
Russia kabakiza kitu Gani hajagusa ktk silaha zake???
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ata last year wakati Russia anaondolewa Karkiv pamoja na Kehrson walikua wanasema hivi hivi matokeo yake wakakimbia
Hii counteroffensive ya Ukraine ni ya hatari mno maana jamaa wanashambulia maeneo yote... Tena wamejipanga vzr Kweli na Russia ime switch ktk defensive hii ikiwa na maana kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.