Recent content by Anton Komba

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Manji na hisia za watanzania

    Kanuni za matajiri hasa Drugloads duniani kote hutengeneza Himaya miongoni mwa watu maskini ili iwe kinga pindi mambo yakibumbuluka kama hivi Manji na Wanayanga!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Manji na hisia za watanzania

    Hapa ni Mtanzani muovu na sio Mihindi muovu. Ahukumiwe kwa mujibu wa sheria kama mkazi na Diwani wa Mbagara!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Gwajima na Manji wananikumbusha yaliyotokea nchini Jamaica

    Ni sawa kabisa, umasikini ni sumu ya kujitambua. Utabaki kuwa mtumwa!
Back
Top Bottom