Watawala walio wengi hawajalitambua hili leo,wanajidanganya na majeshi yanayowalinda,na hakika CORONA ikichangamka ikaanza tafuna watoto na ndugu wa hao Askari Pengine na wao wenyewe na Uhakika Wananchi na Askari tutaongea lugha moja dhidi ya watala wabinafsi wasiojali usalama wa Raia #Muda...
Katika mwendelezo wa Vita ya kupambana na CORONA (COVID-19),inaonekana dhahiri kwamba nchi za Kidemocrasia (Democratic countries) zimelemewa mno na hili janga
zikiongozwa na Marekani na Ulaya kwa Ujumla,tofauti na mitazamo ya wengi hapo mwanzo kwamba pengine China kama Epicenter ya mlipuko huu...
Now wamenyanganywa rungu la kuajiri ajira zote lazima zipitie Utumishi ingekuwa ni kipindi cha nyuma ningeweza kubaliana na wewe hoja kubwa hapa ni kuhusu Utumishi kuchukua muda mrefu bila kutoa shortlist ya majina kwa ajiri ya interview kwan maombi yaishafanyika mwezi 1 na wiki Sasa.
Habari wanajamvi,
kuna Nafasi takribani 18 zilitangazwa na UTUMISHI za mamlaka ya mapato TRA katikati ya mwezi wa pili mpaka sasa ni kama mwezi mmoja na wiki moja kuna hali ya ukimyaa ambapo sio kawaida ikachukua muda mrefu kiasi hiki bila watu angarau kuwa shortlist.
Swali langu la msingi je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.