Recent content by Anthorexa

  1. Anthorexa

    Kupatwa kamilifu na kurefu zaidi kwa mwezi pamoja na mpangilio wa sayari angani

    Naomba ufafanuzi hapa mkuu Unaonaje? Nataka nijaribu
  2. Anthorexa

    KUITWA KAZINI-NGORONGORO

    Wadau kama kuna mtu yupo huko au anamfahamu aliepo huko naomba tafadhari aniunganishe kuna vitu nataka kuuliza!!!!! Coz nimesikia wameitwa baadhi ya kada ila nyingine bado hawajaita #Shukrani
  3. Anthorexa

    KUITWA KAZINI-NGORONGORO

    Kazi ipo Hongereni mlioitwa
  4. Anthorexa

    KUITWA KAZINI-NGORONGORO

    Wasalaam Natumai ni wazima wa afya Tafadhari tupeane updates zozote kuhusu kuitwa kazini baada ya interview iliyofanyika ngorongoro February mwaka huu Tuliambiwa baada ya wiki 2 lakini sasa tunaianza wiki ya 5,kama kuna muhusika yeyote huku jf Tafadhari tupeni updates kama nafasi...
  5. Anthorexa

    Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    The bold You are talented ndugu Keep it Up!!!!
Back
Top Bottom