Recent content by Anthony mwinyi

  1. A

    Rwanda yakipokea Kiswahili rasmi, Tanzania tunasubiri nini kukitumia kufundishia?

    Mm naona itakuwa ngum coz matangazo yenyewe yanaandkwa kingereza alafu ww usome kiswahil utakuwa mgen wa nan?
  2. A

    Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Mm mtokeo yangu aya apa Civics- D English- D Math- F Phyz- F Kiswahili- C History- C Georgy- C Chemistry- C Bios- B Lkn ndoto yangu ilikuwa udocta nkishindwa kama iv nursing au kilimo lkn naisi kwa...
  3. A

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Maumivu hayo tokan na murstabation nikulize swal? Ww ni mchezaj soka? Foot ball?
  4. A

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Usemalo n kwel ila ck zote kama jambo halija kukuta huwez tilia mkazo .mwenye mcba ndio anajua machungu ya kufiwa mkuu
  5. A

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Hahahaha .mkuu impact inakufuata mkuu
  6. A

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Sio kwel impact yake n kupunguza nguvu za kiume na kupiga bao moja tu bas
  7. A

    Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Iv jaman naomba ushauli ndoto yangu nlipenda kusomea mambo ya Afya lkn bahat mbaya math na phyz nna f lkn bios nna B na chemistry C yaliyo back nna c nirudie mtihan kwa masomo aya mawil au naomba ushaul
Back
Top Bottom