Recent content by ANTHONY MHANDA

  1. A

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    I need that training ila sijajua kama hiyo 45,000 ni ya kumfundisha mtu mmojammoja au mpaka wawe kwenye kikundi namaanisha nikija peke yangu utanifundisha au mpaka tuwe wengi? ntakuchek kwa cm yako
  2. A

    Project funding sources

    neec baraza la uwezeshaji
  3. A

    Project funding sources

    Oxfam hawafund nchi nzima wana baadhi ya mikoa wanayofund tu kama Singida na Shinyanga....na walikuwa wanafund kilimo cha viazi cna uhakika kama na mihogo ni eneo mojawapo
  4. A

    Project funding sources

    Hongera, una bahati njema, mimi ni moja ya vijana waliowahi kupewa Fund kama unayoitaka nikaanzisha mradi wa ufugaji nyuki.....Na sasa kuna zaidi ya Bilioni moja zimetengwa na NEEC kwa ajili ya watu kama weye......cha kufanya, unaweza kuonana na mimi nikakuunganisha na watu watakaokudhamini...
  5. A

    Soko la asali

    Ndugu wadau mi ni Mjasiriamali ninayefuga nyuki na kusindika Asali mkoani Katavi, ninatafuta soko la Asali. Asali ninayouza ni mbichi haijachakachuliwa bali imefungashwa kwenye vifungashio vya Kilo moja, kilo saba mpaka kilo 28. Kwa bei ya rejareja, kilo 1 ni 10,000/=, kilo 7 ni 45,000/= na kilo...
Back
Top Bottom