Recent content by Anotsitse

  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naitaji kulima mpunga (saro), naitaji mawazo yenu

    Nimeanza ivi,mpunga una wiki tatu nashukuru Mungu na vuli imeanza Kunisaidia kumwagilia
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naitaji kulima mpunga (saro), naitaji mawazo yenu

    Kukodisha ni shilingi elfu hamsini,mimi nilinunuaga laki mbili na nusu kwa eka mwaka Jana ila sijasikia anayeuza kwa sasa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naitaji kulima mpunga (saro), naitaji mawazo yenu

    Sawa mkuu nashukuru Kwa ushauri.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naitaji kulima mpunga (saro), naitaji mawazo yenu

    Unaitaji za kukodi au za kununua mkuu?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naitaji kulima mpunga (saro), naitaji mawazo yenu

    Habari zenu humu jamvini,nina mtaji wa shilingi laki Saba ,pia Nina eneo la Eka tatu jirani Na mto wami Morogoro .Baada ya mfumuko wa bei ya mpunga nimehamasika kulima mpunga Aina ya Saro Eka mbili,tafadhali naomba MAWAZO yenu.
Back
Top Bottom