Bando zinapanda kila siku nanyi mnajua... Hadi bando za chuo zimekua expensive yaani ile GB mliyokua mnatupa kipindi cha nyuma sio sawa na GB ya sasa.
Hii ya sasa unaweza ukawa unachart tuu whatsap ndani ya masaa 6 hamna kitu. Alafu tunaunga bando ya wiki 2000 ya chuo na ikiisha unaambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.