Ulifanya jambo gani la maana hiyo miaka 7 ulokaa??
Ulifanya kazi gani??
Mfano ulikuwa mwl ya primary watakuroga wanafunzi au
Kama hujanunua hata baiskeli nani atadeal na ww
Usil
Nivyema ukaweka akiba ya maneno mkuu pia ni vyema kuheshimu kila mtu ususani humu mitandaoni kwakuwa hatujuani.
Bt inshort chuo nilimalizaga 2018 Dsm
Huko Kigoma ndio acha kabisa
Kuna sehemu wanapaita Manyivu milimani huko mpakani na Burundi sio poa🔥🔥🔥
Bado sijataja Ujiji wasije wakanicheki kwenye Rada bure😂
Ni
Ni kweli ila point ya msingi hao wote wanaofanya vzr ktk biashara lazima moja kati ya hayo mawili niliyokutajia. Biashara inasiri kubwa sana bila kujali umefungua K.Koo au Tabora
Ajabu naishi Tabora mjini hapa tena maeneo ya stendi ya mkoa kabsa
Sipati picha huko wilayani urambo kaliua nk
Issue ipo hivi ukikaa kaa tu bila kupiga hatua kila uchwao hakuna mtu anakusumbua duniani, mti wenye matunda ndio upogwa mawe mkuu
Nipo mkoa huu takribani mwaka wa tatu huu, itoshe kusema huu mkoa ni balaa nikilinganisha na Dsm mkoa ambao nilizaliwa nikasoma hatua zote za elimu hapo.
Huku ukijichanganya kutaka kufanya jambo lolote la maendeleo kazi unayo wanakula na wewe sahani moja mpaka utakubali.
Ukipangiwa kazi huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.