Recent content by Anonymeous

  1. A

    Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

    Pascle unatafuta uteuzi na hautaupata! WEW NI FUNGU LA KUKOSA. Warioba alikuita TBC utetee huo ujinga wako. Hatushangai kusikia ulitetea maana uliitwa na chombo cha umma utetee serikali, tena kwa kulipwa posho kwa mda wako. Matter of fact; mbowe alikamatwa kwa maelekezo. TANGU LINI KUDAI KATIBA...
  2. A

    January Makamba: Kauli ya Askofu Gwajima kuhusu chanjo na dhamira ya Serikali haikubaliki

    Dawa swrikali ifungu kijikuti chake anachokiita kanisa. Yule ni bwege kama hataki chanjo haachane nayo. Waziri mkuu amesema chanzo ni hiari kama hatak yeye haache, abaki na uboya wake uko
  3. A

    TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

    Jaman mbona mapema mno alikuwa na shida gan. R.I.P
  4. A

    Chama Kikuu cha Upinzani nchini ni ACT- Wazalendo siyo CHADEMA

    Tatizo no fahamu mdogo wa mtoa post. Vigezo vya ukuu wa chama cha upinzani ni kipi hapo ndo kipimo cha upeo wako. 1. Kura za uraisi japo zilichakachuliwa namba 2 alitoka chama gani na kula ngap dhidi ya vyama vingine vya upinzan
  5. A

    GE2020 Felister Njau: Tulikamata mabegi matano ya kura za CCM ktk Uchaguzi Mkuu 2020

    Bunge la kikao cha CCM. Hiyo picha imetengenezwa kurudisha watu kwenye ufuatiliaji hakuna kitu pale. Acha wafu wazikane
  6. A

    Hizi hotuba za kisiasa za Rais Magufuli zitatuponza. Tuchague mambo ya kusema hadharani

    Apate msaada sana. Akufungwe spidi gavana. Eti hana imani na Chanjo kwa utafiti gani alioufanya. UTAFITI UPINGWA NA UTAFITI MWINGINE
  7. A

    Naibu Waziri wa TEHAMA, Kundo Andrea ashauri TCRA kuanzisha mitandao yetu ya kijamii tuachane na Twitter, FB, YouTube n.k

    Hajui maana yake. Ingekuwa raisi hivyo mzee baba TRUMP na ebilionea wake angeanzisha yake baada ya hizo social media kumpiga BAN. Sio kazi nyepesi ya uwekezaji. Uliza google ndo atajua hasichokijua hicho
  8. A

    Mhe. Anthony Mavunde, One of the Few, Very Best Magufuli Has. Anafaa Kuwa Waziri Kamili, Nimeguswa kwa Hili

    Pasko acha ushamba wa kingereza. Hafhara unayokusudia ni ya waswahili alaf unatoa vichwa vya kingereza alaf maudhui ni kiswahili. Unachefua
  9. A

    Hali ya kisiasa kijamii na kiuchumi inaelekea kuwa ngumu sana

    Haujamjibu. Acha bangi jibu hoja yake.
  10. A

    Vikwazo vya Marekani: NEC yasema hatua za kisheria zifuatwe pale panapoonekana pana kasoro

    Huko akafuate nini Corona. Kuna nchi duniani ukiwa na hela yako ukipigwa BAN Kichwa kinauma sio Huo cjui hong kong cjui China. Mpango mzima ni USA mkuu. Wew hapo ulipo uambiwe marufuku US na mpunga unao utajisikiaje.usipime mkuu
  11. A

    Wafamasia wanaosimamia famasi ambazo hazipo katika maeneo yao ya kazi, Watakiwa kujisalimisha kwa Msajili wao

    Hofu yangu ni Idadi ya Wafamasia nchini je inaendana na idadi ya watu. Kwa maoni yangu wafamasia waliosajiliwa na wasio sajiliwa nchi ni wachache sana sheria lazima iangalie hilo. Kuna maeneo vijijin kupata famasi unatakiwa kusafiri kilometa 90
  12. A

    GE2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

    Madhara yake, chukulia waliowekewa ban ni maofisa wandamizi, HAWATARUSUWA KUINGIA MAREKANI KWA YAFUATAYO 1. Kufuatilia mikopo ya Benki ya dunia wala IMF 2. Mikutano ya Umoja wa Mataifa hawatakanyaga 3. Vipuli vya ndege zetu Boeling hawatakanyaga 4. Umoja wa Ulaya unamsikiliza sana USA. Nchi zote...
  13. A

    Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

    Atakuja Raisi mwingine yeye akiwa kibabu atampeleka mahakaman kwa ubadhilifu wa mali za umma akiwa ofsn. Ataondolewa Presidential immunity yaani kinga ya urahisi kama ilivyotokea kwa CHILUBA wa Zambia. Wiki iliyopita aliyekuwa Rais wa Malawi ambaye amepokelewa na huyu aliyekuja majuz kati...
Back
Top Bottom