Modes muwe mnafuta comments za kipuuzi kama ya huyu kilaza.Kwani hao CHADEMA wenyewe wanasemaje?
Kamuulize yule mbilikimo wa kigogo pale mjengoniChadema mna wabunge wangapi?
Sisi furaha yetu ni kuwa yule aliyejaribu kuiangamiza Chadema ameangamizwa yeye.Sasa hivi hakuna chama kikuu cha upinzani Tanzania kwa mjibu wa katiba yetu pendwa. Ndiyo maana huko bungeni hakuna kambi ya upinzani wala KUB!
Simlisema mnavikaratasi vinavyooonesha kula fake , kwa nini msifungue mashitaka upya kama kweli mliiibiwa.CHADEMA ni chama cha upinzani ambacho mpaka sasa hakitambui uchaguzi mkuu wa 2020 kwa kuwa haukuwa huru na haki. CCM chini ya jiwe kilipora haki za wananchi!
Kilaza kama wewe hata kuandika kiswahili fasaha huwezi unaweza kuwa na hoja yenye mashiko?Simlisema mnavikaratasi vinavyooonesha kula fake , kwa nini msifungue mashitaka upya kama kweli mliiibiwa.
Wewe si changudoa usie na bei utajua wapi thamani ya hoja!Usiye kilaza umeandika kipi cha maana?
Huachi ujinga? Haya sawa ACT ndiyo chama kifutu cha upinzani.Habari.
Ili kuweka mambo sawa kuhusiana na Siasa za nchi yetu, ifahamike kuwa chama kikuu cha upinzani hapa nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ni ACT- Wazalendo inayoongozwa na Zito Kabwe na siyo CHADEMA inayoongozwa na Freeman Mbowe.
Bila kujua wafuasi wengi wa CHADEMA wamekuwa wakikitambulisha kama Chama Kikuu cha Upinzani nchini wakati siyo kweli. Hadhi ya CHADEMA kuwa Chama Kikuu cha Upinzani nchini ilikoma mwaka 2020 baada ya kushindwa kila mahali na kuambulia Mbunge mmoja tu.
ACT-Wazalendo ina Wabunge wengi kuliko CHADEMA kwa sasa.
Tukuulize wewe Kaka mkubwa, sisi kina Mdee hawatuhusu tulisha malizana nao kitambo tu mbonaLini mnarudishiwa na akina Mdee?