Recent content by annito

  1. annito

    Siku niliyoamini kweli mimi mjomba ni sawa na mama😊

    Una kiherehere kibaya sana mjomba ambae ni mama.. lol
  2. annito

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Haya toka umeanza kujifunza neno mbona neno haliko na wewe?? Yaan neno limekukataa. . . Kwahiyo vitu vizuri vya shetani 🤣 ..so dunia inaweza kutoa vitu bora na vizuri kuliko aliyeumba dunia?? 🤣 Spirit ya mafarisayo is real.. that's why alipokufa Lazaro walilia sanaaa.. Ila Yesu alipomfufua...
  3. annito

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Sio kweli, Huruma yake, anakumbusha Wana wa Mungu aliye juu kuwa wawo ni majemedari, wasipigane vita peke yao.. “Ama wadhani ya kuwa mimi siwezi kumsihi Baba yangu, naye ataniletea sasa hivi zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika? ” — Mathayo 26:53 (Biblia Takatifu Sijawahi kumsikia...
  4. annito

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Kuna member hapo juu kaelezea vizuri.. kuna nabii wa Bwana alipewa historia kamili na mmilik wa aliye juu toka anga za mbali kuhusu malaika hawa walioasi.. Search YouTube anaitwa Prophet David Richard angalia shuhuda zake..
  5. annito

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Hata kama tunatakiwa kuheshimu mawazo ya mtu, ndo iwe pumba kiasi hiki lol,!!!!
  6. annito

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    AZAZEL ni mmoja wa malaika walioasi,....
  7. annito

    Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

    pole kwa msongo wa mawazo.. so tar ya kuaga iliyotolewa pia ni magumashi.. nakuelewa hata sisi tuliopata neema ya kuwasiliana muhusika kabla ya umauti wake. tunataman iwe ndoto.. maana kila mmoja kwa sehemu yake tunamuhitaji mno.
  8. annito

    Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

    so sad kaka G [emoji24][emoji24]
  9. annito

    Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. annito

    Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    inatakiwa ufahamu mzee dingi anaishi kwa mchongo, km kwenda kwake anafanya mzunguko kiasi hiko na kubadili dala dala hizo ndio arudi kwake hivi anaweza kuweka hela ac moja kweli?? au unasoma story kutafuta makosa sio kujifunza mkuu,.
  11. annito

    Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

    wanaoamini ucHawi hawakosekanagi. kuchinja maana yake kuikabidhi biashara yako kwa miungu (mashetani) rasmi, watakuendeshaaaaaaaaa utachinja mpk utatoa damu ya thaMani sio ya kuku tena wala mbuzi hao wapendwa wako watafikiwa. si unataka hela!! utakataaje ukifikiria kurudi kny ukata! km...
  12. annito

    True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

    how? wakawarubuni vipi? kurubuni ni kudanganya, ? so watapelekewa suluhisho au kitanzi kipya? hao Yehova ndio wadanganyaji, ? kwanini mlio safi katoliki na msipeleke msaada huko utume wengine wakawarubuni??
  13. annito

    Mkasa: Jinsi nilivyofunzwa uchawi na mama yangu

    Hakuna mganga wa kweli wala wa uhakika wote ni mawakala wa shetani ambae ni baba wa uongo. unaingizwa ktk maagano ambayo niwewe ba kizazi chako mtalitumikia.. kifungo cha ukakika hutoki vila neema ya Mungu. mntafuta wafuasi kwa nguvu kuujaza ufalme wenu. wote uliowakusudia nawatia upofu...
  14. annito

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    japo commentd yako niya muda Japo comment yako niya muda mrefu ila nimewiwa nikujibu kwa kifupi. 1. haujui chochote kuhusu ulimwengu wa roho na utendaji kazi wake. 2. unajitoa fahamu , sihusian na mtoa maada ila kuna mengi sana yanaendelea ila wewe una macho ila ni KIPOFU
  15. annito

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    [emoji856][emoji856]
Back
Top Bottom