Ahsante tumeona ila tuna maumivu sn,yaani ninaangalia vitu vingine unakosa jibu ,je hiyo PSPF haiwezi kuwekeza kwenye hospital ili watu wetu wapate huduma bora na kuokoa maisha ya watanzania wengi wanaokufa kwa kukosa dawa na vifaa vizuri vya tiba,kimsingi hospital kubwa za rufaa hazina hata...
hawa ni wanafunzi wa vyuo gani?Kwanini iwe ni maamuzi ya jumla ?sahihi za walioamua na vyuo walivyotoka ziko wapi? jamani tuache siasa za uongo hazitasaidia nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.