Pole sana, hiyo inawezekana kabisa ikawa migrane (kipanda uso) kinasababishwa na vitu mbali mbali ikiwa na msongo wa mawazo, kutokulala vizuri usiku, na mengineyo, pia inawezekana ikawa dalili ya high blood pressure nakushauri ukamwone specialist wa internal medicine, atakusaidia,, kwa sasa...