Recent content by Annan

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ushoga hautamalizwa kwa kuwaacha mashoga mtaani na serikali kushirikiana nao kwenye majukumu mbalimbali

    Kweli kabisa, wanafanya hadi party zao nyingi tu na wanazituma mitandaoni kuhamasisha, kuna mitandao yao ya kutafuta mashoga kwenye date app za kawaida. Hivi vitu havikuwepo miaka 20 iliyopita. Ndivyo vinahamasisha ushoga. Nafikiri serikali pia inalifumbia macho hii issue. Unajua sheria zetu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ushoga hautamalizwa kwa kuwaacha mashoga mtaani na serikali kushirikiana nao kwenye majukumu mbalimbali

    100%, ushoga umeenea kwa kasi kwa sababu kuu ya Mitandao ya jamii, mitandao ya ngono, Nchi za Magharibi kuutangaza, kuulinda, kuutetea, kuukuza na kusema ni kitu cha kawaida. Wanasema ushoga ni sawa na kuzaliwa mweupe au mweusi, mfupi au mrefu, haki ya kulala na mwanaume kwa mwanaume ni haki ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jarida la The National Voice latoa kashifa nzito kwa marais 8 wa Afrika waliofanya biashara na Wicknell Chivayo.

    Huu mtandao utafichuka hivi karibuni. Afrika kusini, Malawi, Kenya, Zimbabwe na taasisi nyingine za ulaya na Marekani wanafanya uchunguzi wa kina.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Jarida la The National Voice latoa kashifa nzito kwa marais 8 wa Afrika waliofanya biashara na Wicknell Chivayo.

    Hii Cartel, hili genge la wahuni wanafanya yote hayo madawa, silaha, kuiba chaguzi, gold na madini mengine, kuuza wanyama, kuhamisha pesa za umma kwenye accounts zao, contracts za kuua kama 29/10/26, Janjaweed, RSF. Soma vizuri makala hapo chini. Ufisadi wa kila aina kama magenge mengine ya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Jarida la The National Voice latoa kashifa nzito kwa marais 8 wa Afrika waliofanya biashara na Wicknell Chivayo.

    Siyo tu kitovu cha kupitisha madawa tu, pia Tanzania imekuwa kitovu kikubwa cha kupitisha silaha kwenda RPF Sudan kuchochea vita sudan, kuiba dhahabu ya Sudan na rasilimali nyingi kuzipeleka UAE pamoja na kuwapa silaha janjaweed wanaoua na kubaka na kufanya ethnic cleaning Darfur na RSF...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ushoga hautamalizwa kwa kuwaacha mashoga mtaani na serikali kushirikiana nao kwenye majukumu mbalimbali

    Hili la ushoga haliwezi kumalizwa na mtu mmoja kupiga kelele. Kinachohitajika ni mpango wa dhati wa muda mrefu kuondoa mifumo yote inayowalea, kuwakuza na kuwatangaza. Inabidi kuanza kwa kuwaondoa kwenye radio, tv, social media na mitandao mingine. Kufungia website za ngono zinazo- promote...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Ukaribu wao sio wa kawaida. https://x.com/mlimaSayuni/status/2107540476945395935
  8. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Hivi kuna mtu mwingine yoyote amekuwa karibu na Samia kama huyu, hata mume wake aliyefariki hatukuwahi kuona picha wakiwa kama hivi hadi maziwa yanagusana, hakuna protocol yoyote.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, wakamateni Dotto Magari na Dudu Baya muwashikilie kwa muda. Mbona Tanzania tunaenda kuwa taifa la kijinga kiasi hichi??

    Tatizo kuwa-promote wahuni kama role models ndio hii. Vijana wanajifunza maadili kutoka kwa watu hawa wasio na maadili wengine wengi kama Anko T, Mwijaku, babalevo nk.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ndege iliyombeba Waziri mkuu Mwigulu yashindwa kupaa; yalazimika kurejea airport

    Hii inaonyesha kiwango chao kidogo sana cha kutambua dhamira halisi ya Samia, Kikwete, Abdul na familia zao. Hawa wako tayari kuua hata nusu ya Watanzania ili wabaki madarakani. Tanzania kwao ni mali yao binafsi. Yeyote ambaye anasema siyo mali yao au kujali maslahi ya nchi wako radhi kumuua...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Sir Wicknell Chivayo has fraud records, but is still close to some African leaders. What is behind the curtain?

    Chivayo naye alikuwa anatumika na kulindwa na Mnangagwa kuiba kodi za Wazimbabwe, kuuza silaha, kusaidia kuiba chaguzi nchi nyingi za Afrika bila kuchukuliwa hatua yoyote na yoyote. Yeye kwenda kimataifa kumewezeshwa na Mnangagwa akiwaambia madikteta wenzake wa Afrika wamwamini awafanyie dili...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ndege iliyombeba Waziri mkuu Mwigulu yashindwa kupaa; yalazimika kurejea airport

    Ajidanganya, Samia, Kikwete, Rostam na Abdul wanaiona hii nchi, rasilimali zake zote, kama mali yao binafsi. Watu wake kama watumwa wao, wawe CCM au upinzani. Yoyote anayetaka uongozi, urais anayepigania katiba mpya, maslahi ya Tanganyika atachafuliwa, kuuwawa, kufungwa, kutekwa na kuteswa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Sir Wicknell Chivayo has fraud records, but is still close to some African leaders. What is behind the curtain?

    Jamaa alikuwa mwizi kiasili Kafungwa jela katoka akaelendea na utapeli na ufisadi kwa nguvu kubwa zaidi. Huyu ni sawa na Angel Kizigha au Lugumi. Wanapata tenda za serikali wanawalipa watu wao kuanzia Rais 10%, wanatumia kama 20% kuzuga kutimiza tenda kwa kununua kama uniform za jeshi mbovu au...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ndege iliyombeba Waziri mkuu Mwigulu yashindwa kupaa; yalazimika kurejea airport

    Hivi kwanini watu kama hawa, Nchemba, Nchimbi, Polepole, Mhagama wanajua wanawindwa kuuwawa kwanini wasijilipue. Kwa nafasi zao hawashindwi kukusanya ushahidi usio na shaka, kukimbia nchi na kuwapa mahakama ya kimataifa, vyombo vya habari na wadau wa maendeleo huo ushahidi. Wakibaki nyumbani...
  15. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Wanasema wakubwa wa Zimbabwe walimchoka, alikuwa anaagiza watu wanaompinga wauwawe wengine ni watu wakubwa serikalini kwao.
Back
Top Bottom