power banking ni kifaa kinacho hifadhi nishati kwa ajili ya kuchajia simu za aina zote, tablets,noter nakadharika ni za kampuni ya EXODE zina mili ampia 12000.tunauza jumla na reja reja bei ya jumla ni shilingi 35000 kuanzia pisi 5, na reja reja ni sh 40000.kwa atakae hitaji tuwasiliane 0756...