Recent content by Anna Tibaijuka

  1. Anna Tibaijuka

    Waziri Tibaijuka azomewa kwa kushindwa kumaliza mgogoro wa Ardhi

    Asante. Nami nakiri uzushi wa Mwananchi umenishangaza! Sheria ya ardhi ilivyo sasa mamlaka ya kufuta hati miliki ni Rais baada ya kushauriwa kufanya hivyo na Waziri wa Ardhi ambaye anashauriwa na Kamishna wa Ardhi kuhusu jambo hili. Sheria ikibadilishwa na Bunge Waziri wa Ardhi anaweza kupewa...
  2. Anna Tibaijuka

    Waziri Tibaijuka azomewa kwa kushindwa kumaliza mgogoro wa Ardhi

    Nilifuata maelezo ya shamba kutoka kwa mwenyeshamba? Hii siyo rocket science, come on vijana tuwe na uwezo wa kuchambua mambo la sivyo propaganda zitatafuna taifa letu! AT
  3. Anna Tibaijuka

    Waziri Tibaijuka azomewa kwa kushindwa kumaliza mgogoro wa Ardhi

    Asante kwa imani yako. Huwezi kukagua shamba bila kuwa na mwenyeji kama guide. Ni standard procedure! Miundombinu ya shambani inahitaji magari ya field na tulipanda hiyo jeep pamoja na Mkuu wa Wilaya Mwekezaji akawa anatueleza nini kinaendelea? Ikafika mahali magari yaliyokuwa yanatufata...
  4. Anna Tibaijuka

    Migogoro ya ardhi inaua,mh. Tibaijuka sera ya ardhi wapi?

    Namba yangu ni 0686838722 email tibaijuka.anna@gmail.com
  5. Anna Tibaijuka

    Migogoro ya ardhi inaua,mh. Tibaijuka sera ya ardhi wapi?

    Kweli niko humu huwa ninapenda kuangalia discussion na kujibu pale ambapo panastahili. Kejeli, matusi, fitna, giliba ninaziacha kama zilivyo. Kama Mtanzania mwenye uwezo wa kuandika kwenye JF hata hajui kwamba swala la Viwanja lipo chini ya Halmashauri, kwa mujibu wa Sera na Sheria za ardhi...
  6. Anna Tibaijuka

    Waziri Tibaijuka azomewa kwa kushindwa kumaliza mgogoro wa Ardhi

    WanaJF Hivi mnadhania mimi ni juha kwamba nikitaka chochote kutoka kwa mwekezaji nitaandamana na waandishi wa habari kama nilivyofanya huko Kapunga? Lauden Mwambona, mwandishi wa Mwananchi huko Mbeya kapotosha ukweli kwa sababu azijuazo yeye mwenyewe. Ninawashukuru na kuwapongeza mlioliona...
  7. Anna Tibaijuka

    Prof. Anna Tibaijuka: Kwaheri ya kuonana Mzee Madiba

    Kwa heri ya kuonana Mzee Madiba. You fought for our dignity and won the fight. May God Almighty grant you eternal rest. Amen. Now that he has left us, let me join the family, South Africans, Africans, and the entire humanity to herald this Great Man of our Times. A historical legend. An...
  8. Anna Tibaijuka

    Zitto ataja mawaziri mizigo

    FIKIRIKWANZA Nilitegemea michango yako ingefanana fanana na NICKNAME yako lakini kumbe ni tofauti kabisa!. Pole. Bora ungelikuwa Verified User nikakufahamu kama unavyonifahamu na mimi ningelipata nafasi ya kukutathmini katika elimu na utendaji wako pale ulipo! Nakutoa maksi? Labda na mimi...
  9. Anna Tibaijuka

    Tibaijuka maeneo haya yanapata umeme lini kama ulivyohaidi

    Omulangila. Waitu waimukayoge? Vijiji vya Muleba vinavyopata umeme ni 65 baadhi unavyotaja vikiwemo. Check list kamili REA website. Pili Kabirizi hawawezi kuwa wamekutuma uwabeze na chakula cha pamoja tulivyoshiriki kama watu wastaarabu? Walifurahi sana na ninaendelea kupokea salamu nzuri. Wewe...
  10. Anna Tibaijuka

    Waziri wa Ardhi kashindwa Uboreshaji Jiji, Makazi bora; analea machaka Mjini!

    WanaJF, Upangaji miji na makazi ni fani ambayo ni changamoto kubwa pamoja na jitihada tunazoendelea nazo. Waliotegemea kwamba Waziri atatamka tu pawepo miji bora na miji ikawa bora kwa tamko lake walikosea wao, sio mimi.Mungu peke yake ndiye anaweza kutamka pawepo na mwanga pakawa na mwanga...
  11. Anna Tibaijuka

    Waziri Tibaijuka atoa kali Jimboni:Atembea na sufuria la Pilau kushawishi wananchi kuhudhria Mkutano

    WanaJF Nimerejea kutoka jimboni kwangu Muleba Kusini. Sitaki kuwaboa na details zake maana yaliyotokea kule siyo mambo ya kuongelea kwa kirefu hapa janvini. Siyo mahali pake. Hata hivyo kama Member, niliona wengi mkitaka nifafanue nini hasa kilijiri kule baada ya Bwana Allistides Rwezaula...
  12. Anna Tibaijuka

    Siku Nilipotua kwa ndege Bukoba nikiwa peke yangu!

    Ni kweli. Haikuwa mbwembwe wala ufisadi bali niliwezeshwa kutekeleza wajibu Wangu kama Mbunge na Waziri. Ninawaletea majibu ya hoja zenu nini kilijiri kama sehemu ya ahadi yangu kwamba nikipata nafasi ninajibu hoja, tunaelezana, kuelimishana, kuleana, ndiyo demokrasia kamili itakayovusha nchi...
  13. Anna Tibaijuka

    Majibu ya baadhi ya maswali yenu

    Wanamtandao Ninawashukuru wote ambao kwa mda mmeelekeza masuala na matukio mbalimbali kwangu. Niombe radhi kuchelewa kujibu kwa sababu ya shughuli zilizokuwa zinatukabili. Sasa nimepata nafasi kidogo, nitajibu baadhi ya mambo ambayo naona ni ya haraka zaidi, na yanafaa kujadiliwa hadharani...
  14. Anna Tibaijuka

    Master PLan ya Mji mpya wa Singapore

    WanaJF Nilikuwa mmojawapo wa viongozi tulioandamana na Mhe Rais katika ziara yake ya majuzi nchini Singapore. Ninawaletea sehemu ya Master Plan ya mji wao mpya unaojengwa kutokana na kuokoa ardhi baharini (reclamation). Unaona kila kipande cha ardhi mpya kimeshapangiwa matumizi yake na...
  15. Anna Tibaijuka

    Shukrani kwa ukaribisho - Anna Tibaijuka

    WanaJF Walionikaribisha – Ninawashukuru. Sikutegemea wala kustahili ukarimu huu. Asanteni sana. Walioona sistahili - Ninawapongeza kusema ya moyoni mwao.. Naomba mnikubali kama siyo kwa nafsi yangu, kwa sababu nyie kama mimi ni waumini wa demokrasia ya kweli. Kila mtu awe na haki ya...
Back
Top Bottom