Recent content by Anna pita

  1. Anna pita

    Tukutane hapa tuliowahi kutoa na kupewa talaka, tujadili maisha baada ya talaka

    Vp ikifikia ndan hakuna mtu anashida na mwenzie hasa kitandan yan mnalala kitanda kimoja lakini kila mtu yuko busy na cm yake, mnawatoto lkn hamna hisia yan mnaweza maliza hata mwezi hakuna kusemeshana hata salam na mnalala kitanda kimoja...ila matumiz jamaa anatoaa kama kawaida
  2. Anna pita

    Hii imekaaje kwa wanandoa?

    Tatizo wengi mnajibu kwa mihemko tu
  3. Anna pita

    Hii imekaaje kwa wanandoa?

    Jibu ni samahan sirudii lkn shida ipo pale pale....
  4. Anna pita

    Hii imekaaje kwa wanandoa?

    Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa? Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aidha kuchati na simu au kuangalia zake tv. Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumbani, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingizi ushakupitia tena...
  5. Anna pita

    Ni hatua gani za kuchukua iwapo hakuna maelewano kwenye ndoa?

    Ha ha haaaa unanifundisha uchawi?
  6. Anna pita

    Ni hatua gani za kuchukua iwapo hakuna maelewano kwenye ndoa?

    Unakua unavumilia kumbuka mna watoto
  7. Anna pita

    Ni hatua gani za kuchukua iwapo hakuna maelewano kwenye ndoa?

    Ewe mwanandoa ulichukua au utachukua hatua gani endapo. Wewe na mwenzio mtafikia hatua ya kutoelewana ndani mmejaribu kuongea lakini hamna suluhu mwingine msaliti mwingine kusamehe nashindwa. Mmefika hatua hata mnagawana vitanda, mmoja akisafir hata WK 3 bila kupigiana cm, Tendo la ndoa...
  8. Anna pita

    Wanaume njooni nina kikao na nyinyi

    Sasa ukiuliza unaambiwa nilijisahau tu, ni mpaka umuanze sasa ww itakua kilasiku umuanze tu
  9. Anna pita

    Wanaume njooni nina kikao na nyinyi

    Huyo nimkeo wewe timiza wajibu wako kama mume, ndio mwez mzima?
  10. Anna pita

    Wanaume njooni nina kikao na nyinyi

    Hivi nyie binadamu mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!! Wanawake wengi sasa hivi wanalalamika hamuwagusi kabisa ndani ya nyumba, hapa nawaongelea mliooa. Mimi nina mwezi sasa tangu tarehe 3 mpaka leo hollaaa, mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwezi umeisha. Nipo group la...
  11. Anna pita

    Wiki mbili naumwa homa kali sana

    Hosp nimeenda 3 tofaut naambiwa Sina tatizo nikapewa pcm na amox tu.
Back
Top Bottom