Recent content by Anna Muungano

  1. Anna Muungano

    Ni CCM tena CHADEMA yapigwa bao mchana kweupe

    CHADEMA katika masuala ya TEHAMA bado wako nyuma sana. Wanatakiwa kujitafakari na kuweka vizuri mambo. Siasa inahitaji maandalizi mazuri na sio kumtangazia vita mshindani wako bila kujua amejipangaje.
  2. Anna Muungano

    Mdude Nyagali, muungwana akivuliwa nguo huchutama

    Mamlaka husika zinatakiwa kuchukua hatua za kisheria ili iwe fundisho kwa watu wengine. Ofisi ya Rais ni taasisi.
  3. Anna Muungano

    Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    Hakika CCM inang'ara Zanzibar na inasonga mbele kwa ushindi wa kishindo.
  4. Anna Muungano

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Yanga ni Klabu bora ya muda wote nchini Tanzania na Afrika mashariki.
  5. Anna Muungano

    1995: Siku Jakaya Kikwete alivyomuinua kitini Rais mstaafu Nyerere

    Chama Cha Mapinduzi kimekuwa kikiishi misingi yake na kuendelea kujiimarisha kila siku.
  6. Anna Muungano

    Wasifu wa Julius Nyerere: Mikutano ya TANU Jangwani 1950s

    Historia hii inatakiwa ihifadhiwe kwa ajili ya vizazi vijavyo.
  7. Anna Muungano

    Hoja ya maslahi ya watumishi wa Umma inavyopotosha na Wapinzani

    Hawawezi kushindana na CCM kwa kutumia propaganda kama hizi.
  8. Anna Muungano

    Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

    Hakika wazanzibar wameamua, Dr. Hussein Mwinyi na Chama Cha Mapinduzi kitashinda kwa kishindo Zanzibar.
  9. Anna Muungano

    GE2020 Kwa mafanikio haya, Magufuli kuchukua kura zote Mkoani Shinyanga

    Kampeni huambatana na propaganda. Wanaoichafua Serikali ni wengi. Serikali ya awamu ya tano iko imara na Rais Magufuli atashinda uchaguzi kwa awamu ya pili. Mafaniko makubwa na yenye tija yanaonekana.
  10. Anna Muungano

    GE2020 Kwa mafanikio haya, Magufuli kuchukua kura zote Mkoani Shinyanga

    Imeandikwa "Usimshuhudie jirani yako uongo." Umekuja katika uwanja huu ukiwa na hoja 6 ambazo hazina mashiko. Tutaendelea kuongea ukweli daima. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na upendo wa Mungu ukae nawe.
  11. Anna Muungano

    GE2020 Kwa mafanikio haya, Magufuli kuchukua kura zote Mkoani Shinyanga

    Tutashinda, tuna sera imara na zenye tija. CCM chaguo la wananchi.
Back
Top Bottom