Recent content by Angshine

  1. Angshine

    Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Kaka nimepambana sana kusoma message zako PM lakini nimeshindwa sijajua tatizo nini.... Naomba niandike apa hii no uwasiliane na uyu mtu 0657 163 409 mtafute whatsapp
  2. Angshine

    Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Kaka me naweza kukusaidia kabisa, huwezi amini zipo dawa mkeo anapona kabisa.....kama inawezekana fungua PM yako nakupa no umtafute kuna dada mmoja yeye aliumwa sana mpaka alitaka kukatwa saivi amepona kabisa
  3. Angshine

    Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

    Ushauri wangu kwako, kwa mujibu wa maelezo yako ni wazi kuwa.... unatokea familia yenye uwezo wa kati. Kwenda chuo na advance ni maamuz unayotakiwa kufanya baada ya kujua faida na hasara za pande zote mbili. Lakini ushaur wangu kwako, nenda VETA katafute ujuzi, siku izi elimu kama ya chuo...
  4. Angshine

    Kosa la Esau wa kwenye Biblia ni lipi?

    Kwa ufahamu wangu nilionao kuhusu Biblia ni kwamba, Mungu huwa anafanya yote kwa jinsi aonavyo ni vema macho pake........ Ukisoma maandiko Mithali 16:4 inasema Mungu aliwafanya hata watu wabaya siku ya ubaya........ Sasa jiulize.... Kwanini Mungu aliwafanya watu wabaya?? Unapaswa kujua pia watu...
  5. Angshine

    Why me? Miongoni mwa maswali ambayo yamekosa majibu

    Siku utakapopata majibu ya maswali yote, ndiyo siku utakayopiga hatua zaid katika maisha yako.... Kwa sababu utajua ni wapi ulikuwa unakosea na wapi unapaswa kurekebisha, ni vitu gani unapaswa ufanye na vipi uache..... Ni maeneo gan unapaswa kwenda na mengine hutakiwi kwenda.
  6. Angshine

    🚨FREELANCE TASK🚨 Mtaalamu wa kutengeneza 3D models anahitajika

    Nami pia natengeneza mkuu...... Tatizo pm yako imefungwa
  7. Angshine

    Mzazi hana uwezo wa kukulaani wala kukubariki

    Me si mchangiaji Sana kwenye nyuzi Bali napenda kujifunza zaid, lakini kwa hii bro Kuna namna unakosea..... Laana na Baraka ni halisi kabisa..... Lakini kama ulivyosema huwezi kutamkiwa Baraka then u kalala ndani ukitegemea utapata nyumba, magari n.k,inakupasa kutoka kufanya kazi lakini kwa...
  8. Angshine

    SoC02 Aibu yenye kuleta heshima (binti jikubali)

    Ni story halisi ya mtanzania fulani.... japo siwezi kukuaminisha kitu ambacho umeshakataa kuamini
  9. Angshine

    SoC02 Aibu yenye kuleta heshima (binti jikubali)

    Ukiwa na maana gani mpendwa????
  10. Angshine

    SoC02 Aibu yenye kuleta heshima (binti jikubali)

    Kwenye maisha kila mtu Mungu alimleta kwa makusudi yake na wakati wake pia. Lakini wengi husahau kuwa kupitia kusudi aliloitiwa duniani, yampasa akubali pia njia atakayopitia kufikia kusudi hilo, haijalishi njia itakuwa na miiba kiasi gani, lakini yakupasa uikubali ili kufika kule uendako. Ni...
  11. Angshine

    Ukweli mweusi wa kujifunza kwenye maisha

    Hongera Kijana upo vzr
Back
Top Bottom